Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,314
- 93,919
Dodoma pale kuna watu wana nguvu. Mfano Shabiby hana wa kumgusa. Watu wote wanamgwaya.Dodoma nao waishie 8 8 funga machame,funga CBE
Wasipande basi zake, wapande zinazofika 88Dodoma pale kuna watu wana nguvu. Mfano Shabiby hana wa kumgusa. Watu wote wanamgwaya.
Basi zake zikitoka Arusha zinaishia kwenye stendi yake, hivyo kwa abiria wanaokwenda stendi kuu wanalazimika kutafuta usafiri wa kuungaunga!
Haiwezekani Dar yote kuwe na Bus stand Bubu Kila Kona, Usafirishaji wa Biashara Haramu , Foleni katikati ya Mji ,Mapato , Huku tukiacha Stendi ya Magufuli ilojengwa kwa Mabilioni ya Pesa .
Wanaotaka kusafiri kwa Ma Bus watakwenda Magufuli Bus Terminal !
Nilitarajia ungeanza na ushauri wa kuondoa malori ambapo Dar yote imekuwa ICD sababu bi hatari mno yale malori yanapopita na kontena na kusababisha pia foleni. Mimi niombe sana Serikali ilitazame hili la mabasi maana abiria tunateseka mfano mtu kwa sasa ambaye anaishi sinza au Tabata au Magomeni anaposhuka Ubungu ,Shekilango moja anakuwa amepata msaada mkubwa mno wa kumuwezehsa kufika kwake . Fikiria Mbezi kulivyo mbali mtu anakwenda pengine Kigamboni ni kumuongezea garama ya nauli.Mimi niombe serikali iangalie hizi ICDs na changamoto ya malori. Mabasi sioni tatizo kwani asilimia kubwa yanafanya kazi usiku na pia hata yatoke wapi huwa yanaingia hapo mbezi.Haiwezekani Dar yote kuwe na Bus stand Bubu Kila Kona, Usafirishaji wa Biashara Haramu , Foleni katikati ya Mji ,Mapato , Huku tukiacha Stendi ya Magufuli ilojengwa kwa Mabilioni ya Pesa .
Wanaotaka kusafiri kwa Ma Bus watakwenda Magufuli Bus Terminal !
Hili la vituo vya ma bus naona hakuna shida saana ili Mradi watu isiwe hole hole kama shekilango wakivyo fanya, mpaka inakuwa ni uchafu.Dodoma pale kuna watu wana nguvu. Mfano Shabiby hana wa kumgusa. Watu wote wanamgwaya.
Basi zake zikitoka Arusha zinaishia kwenye stendi yake, hivyo kwa abiria wanaokwenda stendi kuu wanalazimika kutafuta usafiri wa kuungaunga!
Uandishi wako haueleweki, naona unaishia kwa mshangao, sasa unashangaa nini! Na mimi ninakushangaa.Haiwezekani Dar yote kuwe na Bus stand Bubu Kila Kona, Usafirishaji wa Biashara Haramu , Foleni katikati ya Mji ,Mapato , Huku tukiacha Stendi ya Magufuli ilojengwa kwa Mabilioni ya Pesa .
Wanaotaka kusafiri kwa Ma Bus watakwenda Magufuli Bus Terminal !
Mimi nafikiri biashara iachwe iwe huria. Wemnye mabasi (kampuni kubwa) waachwe wawe na stand zao, (hasa jiji kubwa Dar) serikali isimamie tu viwango, ziwe kwenye maeneo yanayofaa (sio barabarani au open spaces). Serikali isijenge stand kubwa bali ndogondogo kwaajili ya daladala sehemu mbalimbali.Haiwezekani Dar yote kuwe na Bus stand Bubu Kila Kona, Usafirishaji wa Biashara Haramu , Foleni katikati ya Mji ,Mapato , Huku tukiacha Stendi ya Magufuli ilojengwa kwa Mabilioni ya Pesa .
Wanaotaka kusafiri kwa Ma Bus watakwenda Magufuli Bus Terminal !
Mkuu wa mkoa anawabana madereva tu wa malori ila wamiliki wa ICD anawakwepa 😄Nilitarajia ungeanza na ushauri wa kuondoa malori ambapo Dar yote imekuwa ICD sababu bi hatari mno yale malori yanapopita na kontena na kusababisha pia foleni. Mimi niombe sana Serikali ilitazame hili la mabasi maana abiria tunateseka mfano mtu kwa sasa ambaye anaishi sinza au Tabata au Magomeni anaposhuka Ubungu ,Shekilango moja anakuwa amepata msaada mkubwa mno wa kumuwezehsa kufika kwake . Fikiria Mbezi kulivyo mbali mtu anakwenda pengine Kigamboni ni kumuongezea garama ya nauli.Mimi niombe serikali iangalie hizi ICDs na changamoto ya malori. Mabasi sioni tatizo kwani asilimia kubwa yanafanya kazi usiku na pia hata yatoke wapi huwa yanaingia hapo mbezi.
Solution si ndio kama kuweka mwendokasi kila njia. Ishu sio kusambaza vituo ishu ni kuboresha huduma kwa ajili ya usafiri wa uma ili watu wasiumie kimapato....Nilitarajia ungeanza na ushauri wa kuondoa malori ambapo Dar yote imekuwa ICD sababu bi hatari mno yale malori yanapopita na kontena na kusababisha pia foleni. Mimi niombe sana Serikali ilitazame hili la mabasi maana abiria tunateseka mfano mtu kwa sasa ambaye anaishi sinza au Tabata au Magomeni anaposhuka Ubungu ,Shekilango moja anakuwa amepata msaada mkubwa mno wa kumuwezehsa kufika kwake . Fikiria Mbezi kulivyo mbali mtu anakwenda pengine Kigamboni ni kumuongezea garama ya nauli.Mimi niombe serikali iangalie hizi ICDs na changamoto ya malori. Mabasi sioni tatizo kwani asilimia kubwa yanafanya kazi usiku na pia hata yatoke wapi huwa yanaingia hapo mbezi.
Kila mahali kukikwa hivyo hiyo ni nchi au kijiwe cha wahuni?Wasipande basi zake, wapande zinazofika 88
Ni kama Kenya tuKila mahali kukikwa hivyo hiyo ni nchi au kijiwe cha wahuni?