doublep
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 239
- 152
Habari za kwenu waheshimiwa. Mimi ni mgeni katika jukwaa Hili lakini kuna jambo limenigusa nikaona nililete kwenu wazee wa uchambuzi huenda tukawasaidia Watanzania.
Mwanafunzi wa kidato cha kwanza wanapoenda kuanza masomo hasa katika shule zetu za St. Kayumba wanatakiwa kwenda na vitu mbalimbali likiwemo dawati.
Inasikitisha kuona watu wameingiza siasa na kujidai wanawaonea huruma wazazi na kusema wachangie Tsh. 15000 kwa dawati. Hata hivyo kiuhalisia hakuna dawati la pesa hiyo. Mwisho wa siku asilimia kubwa ya mwanafunzi wanakaa chini.
I don't know but this is Tanzania, where are we going? Wakati huo anamwambia mzazi alipe pesa hiyo kwa dawati yeye anamlipia mwanae millions of money Private schools.
Karibuni sasa tuliangalie kwa pamoja.
Naomba kuwasilisha.
It's Me doublep.