Kingsmann
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 4,805
- 17,850
Sifa kubwa ya hili jipu ni kwamba lazima liende kuwa kansa, na sifa ya kansa sote tunaijua huwa inaua kidogokidogo tena kwa maumivu makali.
Lakini mbali na hili jipu kuwa kansa, likifanikiwa kupasukia humo ndani basi muhusika lazima apate kiharusi/stroke. Hivyo kumuweka muhusika katika hatari ya kufa mapema zaidi.
Kabla ya haya makato yenu mapya, muamala ya milioni 1 mtu alikuwa anakatwa 8000/=, baada ya ya haya makato yenu mliyoyaleta kinyume na sheria imeongezeka 8900/=. Yani kuna ongezeko la asilimia 100.9%.
Hapo kabla watu tulikuwa tunalia hizi gharama za kuendesha miamala ni kubwa sana zipunguzwe, lakini badala yake ndiyo mmeziongeza kwa 100% kwa kisingizio cha barabara za tarura? Hivi nyie mnatuona watanzania wapumbavu sana eeh?
Mh SSH hili liangalie kwa jicho la tatu, ni jipu linaloenda kuudidimiza uchumi zaidi badala ya kuuokoa. Uchumi haujawahi kutegemezwa kwa kuongeza kodi bali kwa kutengeneza fursa zaidi zitakazozalisha kodi kwa wingi.