Hili la makato mapya ya miamala ya simu ni "jipu lililo ndani ya ubongo"

wacheni upumbavu kuchangia kodi kwa Taifa lako sio dhambi bali ni fahari, fedha unayo katwa ndio inayo enda kusaidia kuweka miundo mbinu ya elimu mizuri, afya n.k ambayo watoto wetu ndugu zetu watanufaika nayo, yeyote anaye jaribu kukwepa au kuhamasisha kukwepa huyo sio mtanzania atakuwa ana nchi nyingine.
sisi wazalendo tunayo ipenda nchi yetu ya Tanzania tutaendelea kujisikia fahari kukatwa kodi inayo enda kwenye maendeleo yetu, tunachezea sh.ngapi kwenye mambo yasiyo ya msingi kwetu?! sembuse unakatwa mara moja tu kwa maendeleo yako mwenyewe na ndugu zako?! tuache unafiki na uzandiki!!
tulipende Taifa letu.
Tunajisikia fahari kuchangia maendeleo watoto wetu, ndugu zetu.
kama unaweza kuchangia Harusi na mambo mengine kwa nn uumie kuchangia maendeleo ya elimu ya ndugu zako wa kitanzania?!
kweli ww utakuwa mtanzania halisi?!
Sent using Jamii Forums mobile app

Wanaopitisha hiyo miswada wanachangia nini? Kwa nini wasipunguze gharama kubwa za matumizi serikalini ? Mfano magari ya luxury(mashaningi),kupeana posho lukuki zisizo na maana, nk.Kwa nini wao watake watanzania wa kawaida kuonesha uzalendo ili hali wao wakiplunder mali na fedha za nchi???
 
Back
Top Bottom