LiverpoolFC
JF-Expert Member
- Apr 12, 2011
- 11,483
- 3,369
Kwani kuna shida gani akifanyiwa hivyo?
kujifurahisha tu ..ninavyojua mtu akishakufa hamuwezi kufanya chochote kubadilisha mawazo ya Mungu..kinachotakiwa ni kuyaenzi yale mema ambayo ameyaacha marehemu na wala sio kukaa kaa na kuanza kumsalia salia haisaidii kitu , tunaongozwa na hisia zaidi ninavyoona
Nyie huyo mungu aliye waambia kuwa haina maana kumuombea aliye mchukua labda siyo yeye atakaye ombwa. Lkn kwetu wakristo kuna option tuliyo pewa, 'litakalo funguliwa dunian na mbingun limefunguliwa na litakalo fungiwa dunian na mbingun limefungiwa' Kanumba hakua mali ya shetan na ndio maana tutamtangazia shetan na kumpokonya uwezo wa kuwa nae kwa ibada. Poleni sana

Watu cjui hawana vitu vya kufanya mkuu,kuna mambo mengi sana ya kuombea juu taifa letuwatu wamekalia kanumba kanumba.. Hopeless..kujifurahisha tu ..ninavyojua mtu akishakufa hamuwezi kufanya chochote kubadilisha mawazo ya Mungu..kinachotakiwa ni kuyaenzi yale mema ambayo ameyaacha marehemu na wala sio kukaa kaa na kuanza kumsalia salia haisaidii kitu , tunaongozwa na hisia zaidi ninavyoona
Watu cjui hawana vitu vya kufanya mkuu,kuna mambo mengi sana ya kuombea juu taifa letuwatu wamekalia kanumba kanumba.. Hopeless..