Hili la mfalme wa Oman kutaka kumpa uraia wa Oman King Kiba linvekuwa upande wa pili ingekuwaje?

Nani hakujui kua mpiga debe wa kiba juzi umetuambia kwamba ,,,,,,mara ooh,,,, diamond hajui kuimba kicongo alikiba ndie anaweza
HIYO HATA UWEKE BASTOLA KAKA NTAKWAMBIA INAMA MBAYAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA....
 
1. Una uhakika gani kama nimeaoma hiyo shule ya msingi?
2.Unamjibu vp mtu ambaye unahis hajielew kifupi unajibizana vp na mwehu kama ww siyo mwehu+++
3.Umewezaje kujua kama nlichoandika kimekuudhi ilhali uandishi wangu umekufanya usielewe kilichoandikwa?
4.ACHA USHOGA.
 
Unataka awe chakula cha waarabu hahahahahaha basi umemuchoka kibamia
 
Nguvu kupromoti kitu kilichokwisha jifia.Mwenyewe alishakubali matokeo ila vibaraka wake sasa ndo aibu imewajua.Mshamgeuza shoger kiba sasa ili aliwe na waarabu.
Comment hii inahadhi ya Facebuk member wala sio hum jamii forum ambapo hata kupinga tunategemea mtu apinge kisomi.aje na facts na evidenc ikiwezekana
 
Hahahaha
 
Unatukana?Hebu soma kuanzia komenti ya kwanza hadi ya mwisho uone % ngapi wana kubaliana na ulichosema? Asilimia kubwa wanakuponda.

Kiaina hawakuambii kuwa hamnazo, ila ungekuwa mtu mwenye akili pevu ungelibaini hilo.

Lakini kwanza ndio unajiona we babu kubwa na umemwaga pointi za kufa mtu.

Karakabaho wee na hongera sana kudhani umepevuka akili.
 
Waliosema mapenzi upofu hawajakosea ,manake haya sio mapenzi bali ni mahaba πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.

Pale unapoendeshwa na hisia kuliko reality sometime unaweza ukaonekana kituko.
 
mambo haya bhana,

#kwa hiyo mfalme wa saud arabia anataka kusogeza kigoli karibu.. Tz atasumbuka kuipata huduma?
 
Huyu jamaa hakuna kitu, kuna interview moja alifanyiwa na millard ayo, badala ya kuzungumzia mambo yake yeye alikua anasema "unajua Diamond" hadi Ayo akamwambia hapa tunakuzungumzia wewe sio Diamond ndo akaendelea kujizungumzia yeye
 
Sasa Mond anamzidi nini Kiba kimafanikio.. Ile radio na TV inayotazamwa na kusikilizwa na watoto wanaokaa mabondeni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…