Hili la mfalme wa Oman kutaka kumpa uraia wa Oman King Kiba linvekuwa upande wa pili ingekuwaje?

Hili la mfalme wa Oman kutaka kumpa uraia wa Oman King Kiba linvekuwa upande wa pili ingekuwaje?

Mh mfalme hii itakua chakula yake?
Hii au?
Screenshot_20190602-124604.jpeg
 
Nani hakujui kua mpiga debe wa kiba juzi umetuambia kwamba ,,,,,,mara ooh,,,, diamond hajui kuimba kicongo alikiba ndie anaweza
HIYO HATA UWEKE BASTOLA KAKA NTAKWAMBIA INAMA MBAYAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA....
 
Uliandika ukiwa una kunywa ulanzi au?Kichwa cha habari hakieleweki,nyie ndio mnaoshusha hadhi ya Jf kwa threads kama hizi.

Ndio maana mtu anapoumwa tumbo huenda kuharisha chooni.Sasa wewe badala ya kuhara huko kwenye groups zenu za udaku,unaharishia humu.

Unaweza ukawa na hoja lakini uandishi wako umeudhi sana.

Unakuwa kama hujawahi kusoma shule ya msingi Mkuu.

Kama chini uandike vizuri tena tutoe mawazo mujarabuu.
1. Una uhakika gani kama nimeaoma hiyo shule ya msingi?
2.Unamjibu vp mtu ambaye unahis hajielew kifupi unajibizana vp na mwehu kama ww siyo mwehu+++
3.Umewezaje kujua kama nlichoandika kimekuudhi ilhali uandishi wangu umekufanya usielewe kilichoandikwa?
4.ACHA USHOGA.
 
Unataka awe chakula cha waarabu hahahahahaha basi umemuchoka kibamia
 
Nguvu kupromoti kitu kilichokwisha jifia.Mwenyewe alishakubali matokeo ila vibaraka wake sasa ndo aibu imewajua.Mshamgeuza shoger kiba sasa ili aliwe na waarabu.
Comment hii inahadhi ya Facebuk member wala sio hum jamii forum ambapo hata kupinga tunategemea mtu apinge kisomi.aje na facts na evidenc ikiwezekana
 
Uliandika ukiwa una kunywa ulanzi au?Kichwa cha habari hakieleweki,nyie ndio mnaoshusha hadhi ya Jf kwa threads kama hizi.

Ndio maana mtu anapoumwa tumbo huenda kuharisha chooni.Sasa wewe badala ya kuhara huko kwenye groups zenu za udaku,unaharishia humu.

Unaweza ukawa na hoja lakini uandishi wako umeudhi sana.

Unakuwa kama hujawahi kusoma shule ya msingi Mkuu.

Kama chini uandike vizuri tena tutoe mawazo mujarabuu.
Hahahaha
 
Unatukana?Hebu soma kuanzia komenti ya kwanza hadi ya mwisho uone % ngapi wana kubaliana na ulichosema? Asilimia kubwa wanakuponda.

Kiaina hawakuambii kuwa hamnazo, ila ungekuwa mtu mwenye akili pevu ungelibaini hilo.

Lakini kwanza ndio unajiona we babu kubwa na umemwaga pointi za kufa mtu.

Karakabaho wee na hongera sana kudhani umepevuka akili.
1. Una uhakika gani kama nimeaoma hiyo shule ya msingi?
2.Unamjibu vp mtu ambaye unahis hajielew kifupi unajibizana vp na mwehu kama ww siyo mwehu+++
3.Umewezaje kujua kama nlichoandika kimekuudhi ilhali uandishi wangu umekufanya usielewe kilichoandikwa?
4.ACHA USHOGA.
 
Waliosema mapenzi upofu hawajakosea ,manake haya sio mapenzi bali ni mahaba 😂😂😂😂😂😂😂.

Pale unapoendeshwa na hisia kuliko reality sometime unaweza ukaonekana kituko.
 
mambo haya bhana,

#kwa hiyo mfalme wa saud arabia anataka kusogeza kigoli karibu.. Tz atasumbuka kuipata huduma?
 
Huyu jamaa hakuna kitu, kuna interview moja alifanyiwa na millard ayo, badala ya kuzungumzia mambo yake yeye alikua anasema "unajua Diamond" hadi Ayo akamwambia hapa tunakuzungumzia wewe sio Diamond ndo akaendelea kujizungumzia yeye
 
Sasa Mond anamzidi nini Kiba kimafanikio.. Ile radio na TV inayotazamwa na kusikilizwa na watoto wanaokaa mabondeni
 
Back
Top Bottom