GE2025 Hili la mgombea kujitangaza kuwa Yeye ni Amiri Jeshi Mkuu, limekaaje?

GE2025 Hili la mgombea kujitangaza kuwa Yeye ni Amiri Jeshi Mkuu, limekaaje?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Katiba yetu inamapungufu unagombea Urais na Amirijeshi Mkuu Ndo maana chadema wakadai reforms kuna mapungufu flani lazima tukubali kurekebisha mambo bado mapema
Nchi gani hilo halipo? USA kinara wa democracy? nilietee mfano
 
Khaaa! Unashangaa hilo hujasikia alisema washughulikiwe wanaowasukuma wenzao pale katikati na Polisi Ccm wakatii agizo bila kujiuliza mara mbili kama anaetoa amri ni mgombea au ndo tayari rais.
 
Kwa hyo anagombea huku bdo ni rais?
Yes tusome katiba, ipo tu mtandaoni, tazama picha hapo chini

1760465198913.png
 
Haya sasa ndo madhaifu ya katiba cz hakutakuwa na fair ground huku nchi imejitanamahisha kuwa na vyama vingi
Hakuna nchi yenye katiba ya namna hio ktk hicho unachosema ni mapungufu, labda ulete mfano hapa
 
Sasa hapo ndio mizizi wa madai ya wananchi kutaka Katiba mpya.

NRNE
Kwa Raisi wa marekani anapogombea Katika uchaguzi inakuwa si Amiri jeshi mkuu.. wewe unataka Katiba gani? Unaandika upuuzi hata hujijui, lakini umeshapeleka report Kwa Bawacha kama na wewe ume post.
 
Kwa hyo umefanya tafit nchi zote ukaona katiba yao iko the same kweny icho kipengele?
Nimeomba msaada wako wewe, tuleteee au thibitisha uongo wangu. Hata kina wa democracy USA katiba yake ni kama yetu, tena wao kuna muda mrefu zaidi toka rais kuchaguliwa mpaka kukabidhiwa nchi ukilinganisha na sisi
 
Nimeomba msaada wako wewe, tuleteee au thibitisha uongo wangu. Hata kina wa democracy USA katiba yake ni kama yetu, tena wao kuna muda mrefu zaidi toka rais kuchaguliwa mpaka kukabidhiwa nchi ukilinganisha na sisi
Niletee hicho kifungu cha katba ya USA acha myth
 
Nilifurahi baada ya hangaya kuamrisha policcm wawashughulikie uvccm walioletwa na dump trucks plus posho isiozidi 10k baada kutoonesha vibe kwenye zoezi la kulani inadi 😂
 
Umetoa kichwani kwako

Umetoa kichwani kwako hii ?
Taratibu za uchaguz zipo waz rais atapatikana tarehe 30 oktoba baada ya uchaguz wa 29 oktoba kama utakuepo maana vijana wanasema siku ya uchaguz watavamia kila kituo cha kura na watachoma kila kulichopo mpaka kiwe majivu kuanzia sanduku la kura msimamiz had jengo

Urais aliuacha siku ya kuchukua fomu kwa sasa ni mgombea urais anaweza kuukosa vile vile ndio maana anaomba wananch wamfanye awe rais kwa kumpigia kura
 
Salaam!

Hivi Mwananchi aliyehudhuria mkutano wa kisiasa kusikizwa sera za wagombea Ili azichambue na kuchagua wa kumpa kura kuridhia kuongozwa na chama na mgombea husika,

Swali no 1.
Mwananchi akisikia mgombea akijinadi kuwa Yeye ni Amiri J Mkuu, atapata picha gani kichwani? Kura yake yaweza mkataa Amiri na ikawezekana?

Swali no 2.

Wagombea wengine wanafarijika au kufadhaika kiasi gani kusikia kauli hizi za mgombea?
Inasikitisha sana..
 
Back
Top Bottom