Uongozi wa Simba una vituko kweli kweli
We jamaa ni jinga sana sasa unadhani utajiri wa mtu utaujua kupitia Jf?Mkuu swala la simba tuliache kwa muda, vipi familia yenu mmeweza kutoboa na kuitwa familia ya kitajiri hata kwa level ya tarafa???
Mambo ya familia yangu hayakuhusu, jikite kwenye hoja iliyopo...Mkuu swala la simba tuliache kwa muda, vipi familia yenu mmeweza kutoboa na kuitwa familia ya kitajiri hata kwa level ya tarafa???
Kuna wakati unatamani ujifiche. Tangu mwaka jana tunaondolewa CAF CL ni kwa sababu ya ujinga wa bvr kwa sababu why wanashindwa kuajiri kocha mwenye leseni A kwa nafasi ya MATOLA why?
Hizi aibu Simba inapata bvr anajisikiaje mi naona anafeli. Why kila msimu sasa CAF tunaanza kwa ujinga huu na tunajua kila msimu ratiba inafahamika kwa nini Zoran wasingemuomba tucheze hizi game 2 huku tunatafuta mbadala why?
Imefika wakati SASA Simba apewe MAGORI awe CEO na BVR abaki huko ndani tusimuone ni aibu Mgunda kwenda kule kumbe hana cheti.
Leseni pia anayo?Mgunda vyeti anavyo unasemaje hapa?
Hapo tukubali kuwa tumepigwa na kitu kizito kichwani!!! Asipowajibika mtu hapa kitakuwa ni kituko cha karne!
Nimeiangalia mech, bench liliongozwa na mgunda
Nahisi uongozi wa simba uko serious sana ila wanahabari wanawalakini katika weledi wao, kama ni hivyo, rushwa pekee ndio inaweza kuwa chanzoUongozi wa Simba una vituko kweli kweli
We ndo umeongea point yamsingi sanaNahisi uongozi wa simba uko serious sana ila wanahabari wanawalakini katika weledi wao, kama ni hivyo, rushwa pekee ndio inaweza kuwa chanzo
Wamenyamaza kimyaaaa kama hawaoni vileNimeiangalia mech, bench liliongozwa na mgunda
Hawa mwanaspoti wameomba msamaha?