Hili la Mgunda kuwa hana vyeti, Barbara aondoke

Hili la Mgunda kuwa hana vyeti, Barbara aondoke

Uongozi wa Simba una vituko kweli kweli

Mkuu swala la simba tuliache kwa muda, vipi familia yenu mmeweza kutoboa na kuitwa familia ya kitajiri hata kwa level ya tarafa???
 
Mkuu swala la simba tuliache kwa muda, vipi familia yenu mmeweza kutoboa na kuitwa familia ya kitajiri hata kwa level ya tarafa???
We jamaa ni jinga sana sasa unadhani utajiri wa mtu utaujua kupitia Jf?
 
Mkuu swala la simba tuliache kwa muda, vipi familia yenu mmeweza kutoboa na kuitwa familia ya kitajiri hata kwa level ya tarafa???
Mambo ya familia yangu hayakuhusu, jikite kwenye hoja iliyopo...
 
Kuna wakati unatamani ujifiche. Tangu mwaka jana tunaondolewa CAF CL ni kwa sababu ya ujinga wa bvr kwa sababu why wanashindwa kuajiri kocha mwenye leseni A kwa nafasi ya MATOLA why?

Hizi aibu Simba inapata bvr anajisikiaje mi naona anafeli. Why kila msimu sasa CAF tunaanza kwa ujinga huu na tunajua kila msimu ratiba inafahamika kwa nini Zoran wasingemuomba tucheze hizi game 2 huku tunatafuta mbadala why?

Imefika wakati SASA Simba apewe MAGORI awe CEO na BVR abaki huko ndani tusimuone ni aibu Mgunda kwenda kule kumbe hana cheti.

Mgunda vyeti anavyo unasemaje hapa?
 
Uongozi wa Simba una vituko kweli kweli
Nahisi uongozi wa simba uko serious sana ila wanahabari wanawalakini katika weledi wao, kama ni hivyo, rushwa pekee ndio inaweza kuwa chanzo
 
Back
Top Bottom