Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 2,536
- 7,194
Wakuu,
Mkutano wa nishati ambao walengwa wakubwa ni viongozi mbalimbali wa kimataifa na wenyewe ulihitaji "uhamasishaji" kutoka kwa Michael Msechu?
Tunaenda wapi kama taifa?
Balozi wa Mazingira na Mhamasishaji Michael Msechu ameshiriki kwenye hamasa ya vijana kuhusu mkutano wa nishati ambao umehitimishwa rasmi jioni ya leo, Januari 28, 2025 baada ya kufanyika kwa muda wa siku 2.