JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Unaweza ukatuwekea source ya taarifa yako hii!?Asubuhi ya leo nimeamka na taarifa niliyoikuta mitandaoni kuwa Bodi ya Ligi inayosimamia Ligi Kuu kwamba haijamlipa mshambuliaji wa Simba, Chriss Mugalu fedha zake za Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwezi wa Ligi Kuu...
Nimeandika hapo mzee baba, ngoja ninukuu nilichoandika: "Sasa wadau ninachojiuliza, taarifa hiyo ambayo nilianza kuona imefichuliwa na Ricardo Momo wa Wasafi FM, hivi ina ukweli na kama kweli kwa nini mpunga huo haujatolewa hadi leo?"Unaweza ukatuwekea source ya taarifa yako hii!?
Kwahiyo weka link hapa. Tofauti na source wewe ni mbea mithili ya mbulukenge.Nimeandika hapo mzee baba, ngoja ninukuu nilichoandika: "Sasa wadau ninachojiuliza, taarifa hiyo ambayo nilianza kuona imefichuliwa na Ricardo Momo wa Wasafi FM, hivi ina ukweli na kama kweli kwa nini mpunga huo haujatolewa hadi leo?"
Aliyempa uchezaji bora huyo atakuwa na tatizo la Afya ya akili