Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NA je CRDB kuwamwagia mapesa wakatoliki kujenga kitega uchumi pale Msasani huoni huo nao ni udini? Acheni uchochezi nyie! wakifanyiwa maprotestants ni sawa waislamu udini?! mna kazi kweli kweli !
Mh.EH, Maajabu kuwa mfumo wa benki yeyote huwa zinatamaa na kukubali fedha(pesa za aina yote) bila kujali halisi/asili yake...kwao ilimradi wanyakuwe kwa sabubu Benki hujiendesha kwa masilahi yake kabla faida mtjeja wake. Kuhusu njia ya kuwanasa waisilamu kwa njia ya matangazo, Lengo lao nikuwakusanya wateja kwa wingi na wao kufaidika ....Lakini wao jamaa wa NBC hawaoni athari ya hii promotion? Ahsante
Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imezindua kampeni ya miezi miwili na nusu kwa ajili ya wateja wake wa huduma za kibenki zinazofuata sheria za Kiislamu, ili kupata washindi wawili watakao kwenda kuhiji Makkah Oktoba mwaka huu kwa kulipiwa kila kitu na benki hiyo.
___________________________________________________________________________________________
Nadhani kwa hali ya kidini iliyopo nchini kwa sasa, NBC hawakutumia BUSARA kuendesha hili zoezi kwa sasa.NBC ina wateja mchanganyiko WAISLAM na WASIO waislamu SASA kama mshindi atakuwa si MWISLAMU, je naye atagharimiwa kwenda ROMA, Israel au INdia AU KWINGINEKO? Je ikitokea Bank inayoendeshwa kwa utaratibu wa kibuda, Kikikristo au ya wasio na dini, hiyo Bank itaruhusu KWELI taratibu kama hizi za NBC bila kuzingatia matakwa ya wateja wasio wa Imani hiyo.Nawakilisha.Ahsante

Tafadhali futa kauli yako pale msasani si wakatoliki ni KKKT, nyie watu mna tatizo gani na wakatoliki, mkristo akifanya lolote mnarukia ukatoliki tu
kalale bado hakujakuchwa
Usijibu kwa hamaki mheshimiwa. Unajua NBC wana watu wa media wanaofuatilia kurasa kama hizi , hivyo maoni ya wachangiaji yanaweza kuwafumbua macho. Ahsante
Tafadhali futa kauli yako pale msasani si wakatoliki ni KKKT, nyie watu mna tatizo gani na wakatoliki, mkristo akifanya lolote mnarukia ukatoliki tu
Sijakujibu kwa hamaki!
Nadhani mpaka sasa umeona kuwa wachangiaji wengi wanakubaliana na mimi kuwa thread hii lengo ni kuleta chokochoko za udini. Kitu ambacho ni chanzo cha mtafaruku nchi za wengine.
Tuna waanzisha fujo wengi mno nchini ambao tatizo kubwa walilonalo ni uchache wa elimu. Na kuwaelimisha hawa ni kazi ya ziada.
Sidhani kama tunahitaji wengine wapya!
uislamu ni dini iliyokamilika kuanzia banking .kuchinja.jinSi ya kuvaa nguo .marriage.dealing wid corruption.how to do wid ufisadi.science. and technology na yote unayOyajua.. xo usihamaki Sio udini ni mfumo uliokamilika.
Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imezindua kampeni ya miezi miwili na nusu kwa ajili ya wateja wake wa huduma za kibenki zinazofuata sheria za Kiislamu, ili kupata washindi wawili watakao kwenda kuhiji Makkah Oktoba mwaka huu kwa kulipiwa kila kitu na benki hiyo.
___________________________________________________________________________________________
Nadhani kwa hali ya kidini iliyopo nchini kwa sasa, NBC hawakutumia BUSARA kuendesha hili zoezi kwa sasa.NBC ina wateja mchanganyiko WAISLAM na WASIO waislamu SASA kama mshindi atakuwa si MWISLAMU, je naye atagharimiwa kwenda ROMA, Israel au INdia AU KWINGINEKO? Je ikitokea Bank inayoendeshwa kwa utaratibu wa kibuda, Kikikristo au ya wasio na dini, hiyo Bank itaruhusu KWELI taratibu kama hizi za NBC bila kuzingatia matakwa ya wateja wasio wa Imani hiyo.Nawakilisha.Ahsante
Huko unakoenda si sahihi.Naomba tuongee hapa hoja za kulijenga taifa letu na sio kulibomoa.Hayo mambo ya kuchinja yanaingiaje hapa. Kwanza naomba utambue kwamba WAISLAMU wa kweli nawaheshimu sana kwani ni waaminifu, wapole, wachapakazi, si watu wa vurugu, ni watu wanaotumia hekima sana katika kuufikisha Imani yao kwa waimani tofauti. Kwahiyo naomba utambue kwamba nilileta hoja hii si kuwashambulia watu BALI kuondoa yale yanayoweza kutufarakanisha kama watanzania. Ahsante.