Megalodon
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,534
- 7,866
- Thread starter
- #41
Mgunda hana uwezo wa ku-manage mastaa wakubwa ,why? Hajawahi kufundisha mpira katika klabu kubwa zaidi ya simba. Simba ndiyo klabu yake khbwa ya kwanza kuifundisha, hajawahi kushiriki kuifikisha timu katika hatua hizi kubwa za CAF champions league. Ni wazi kuwa timu itamsumbua.
Simba inahitaji makocha wapya wa kizungu kutoka ulaya. Makocha ambao wamefundisha vilabu vikubwa ulaya au afrika. Kocha kama katoka klabu kubwa za ulaya au hapa Afrika akifika simba hawezi kupata tabu nayo.
Pia waafrika tumejengeka kuwadharau waafrika wenzetu, ipo hivyo ila akija kocha mwarabu au mzungu basi wachezaji wote watatii kama ilivyokuwa kwa babu Zoran Maki.
Sasa Ukiongea hivi utaonekana ni mpinzani. Lakini umeongea Ukweli Tupu.
The man lacks management skills and Confidence. Nadhani pia hana Self - realization.... yaani anaona kama kilichotokea ni bingo badala ya kuonesha skills zake na power Kama kiongozi .
Kitendo kilichotokea JUZI kimedhihirisha hilo.
Inawezekana yeye Mwenyewe anaona labda ni dodo; Hivyo anaweka usela badala ya ku Act Kama manager na Ku exercise power yake. Kama kiongozi upumbavu haupaswi kutokea.