Benson Mramba
JF-Expert Member
- Oct 29, 2013
- 766
- 1,884
Naomba nisaidiwe kama sielewi. Leo tarehe 03 August ndio bunge limekoma bila shaka automatically na Rais nae anakuwa amemaliza muda wake.
Nakumbuka zamani kipindi kama hiki nchi ilikuwa inabaki chini ya Jaji Mkuu hadi uchaguzi upite apatikane Rais mwingine lakini wakati wa Mzee JK kulikuwa na mjadala mkali kuhusu hilo sasa sijui iliishia wapi.
NSSF ina pesa za wastaafu, kuvunja bodi wakati tunaelekea kwenye uchaguzi mkuu na Rais aliyemaliza muda wake anataka kugombea tena napata mashaka wa nani atasimamia fedha za wastaafu wa watu kipindi hiki cha uchaguzi.
Je ni salama na sawa au si sawa?