Maumivu yakizidi akamuone daktareeeeeee.Dawa tatu hupatikana Tanzania nzima. Mimi natumia dawa tatu ,wewe je ? [emoji2]
Huyo ni muongooooooooooHivi mleta mada unajua kushindanisha vitu kweli?
Kipengele ni goli bora wala sio top scorer
P. O. S kapokea tuzo ya goal of the year na sio top scorer.
Ila kaipaisha Simba na yeye mwenyewe kapanda zaidi sitaona ajabu akiitwa hata timu ya taifa, Simba kibiashara wanaweza kumuuza kwa bei kubwa, japokuwa mkataba wake haueleweki
[emoji23][emoji23][emoji23]
Huyo Ngasa aliwafunga wauza urojo wa sheli sheli, acha kufananisha na Goal la CAFMsimu wa 2014 YANGA ilitoa Top Scorer wa CAF Champions League/LIGI YA MABINGWA AFRICA hata na wala huezi kukuta wachambuzi wa mchongo wanaisema hii kwa ukubwa wake!
View attachment 2299428