Hili la Sakho si jambo geni kwetu

Hili la Sakho si jambo geni kwetu

Dawa tatu hupatikana Tanzania nzima. Mimi natumia dawa tatu ,wewe je ? [emoji2]
Maumivu yakizidi akamuone daktareeeeeee.
Byuti byuti.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
P. O. S kapokea tuzo ya goal of the year na sio top scorer.

Ila kaipaisha Simba na yeye mwenyewe kapanda zaidi sitaona ajabu akiitwa hata timu ya taifa, Simba kibiashara wanaweza kumuuza kwa bei kubwa, japokuwa mkataba wake haueleweki

Asante kwa usahihisho mkuu, ni tunzo ya goli bora la mwaka
 
🚨 KUTOKA KWA BUGATI

Kupanga ni kuchagua. Wakati Yanga akichukua Treble this season kwa kushinda Ngao Ya Jamii, Azam federation na Ligi kuu, Makolo Treble zao ni

👉Mpole Cup

👉Sopu Cup

👉Sakho Cup Kiufupi chake Treble ya Manyonyo inaitwa MSOSA.

Nb :: Tabu ipo pale pale Makolo,,hadi mtueleze kale katwenty mmekaficha wapi 🤪🤪 MSOSA KAMA MSOSA TREBLE 🤪🤪 Byuti Byuti 🏆🏆🏆
 
Tatizo la makolo ni kwamba hawana ubingwa wowote zaidi ya mapinduzi cup katika msimu kwahyo kitu chochote wao wanashangilia tu mpaka ile siku ya Yanga walivyotembeza kombe kuna makolo walishangilia pia
 
Back
Top Bottom