Hili la serikali kuongeza kodi kwenye betting ni jambo la kihuni

Hili la serikali kuongeza kodi kwenye betting ni jambo la kihuni

Samia atosha tukutane2030

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
17,728
Reaction score
49,762
Ukiweka pesa kwenye simu serikali wanapata kodi.
Ukiweka pesa kwenye account yako ya betting serikali inapata kodi.
Ukiliwa imekula kwako, ukila serikali wako na wewe.
Ile 10% ya 2024/2025 ilikuwa kubwa sana bado mnaona haitoshi mnaongeza kodi.
Mtu akila millioni 1 maana yake huko nyuma kaliwa zaidi ya millioni 5 na hakupewa fidia na serikali.
Wengine waliliwa mpaka million 5 then wakapata million 4.
Hii ni sawa na sheria ya madini na dawa za kukevya. Kizuri cha wote, kibaya ni msala wako.
 
Poleni sana

Kubeti si mchezo tu, ni mchezo wa kijinga ambao kuna anayeliwa zaidi kwa kula kidogo
Mchezo wa kijinga kwako kwakua hujafanikiwa nao Kuna wenzio ni kazi hata wengine wanaona hiyo kazi unayofanya ni ya kijinga hivyo Kila mtu na utafutaji wake
 
Mchezo wa kijinga kwako kwakua hujafanikiwa nao Kuna wenzio ni kazi hata wengine wanaona hiyo kazi unayofanya ni mchezo wa kijinga hivyo Kila mtu na utafutaji wake
Ni mchezo wa kijinga. Kila la heri kwa hao wenye mtazamo tofauti.
 
Hivi tabu tunayopata wakamaria wakati tuna kusanya odds serikali wanazijua?!

Kwa nini serikali nayo isiwe inaweka mkeka ili wapate hizo hela?!

Wanajua uchungu wa kubeti kweli hao viongozi?! Wako bungeni tu! Wawe wanachambua na timu za kuwekea mkeka!
Kmnyoook!
 
Back
Top Bottom