Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,728
- 49,762
Nitumie link please. Niachane na huu upuuzi wa bongoAcha kucheza za bongo cheza betting za KENYA
Utachezaje za Kenya wakati upo tanzaniaAcha kucheza za bongo cheza betting za KENYA
Ukiweka pesa kwenye simu serikali wanapata kodi.
Ukiweka pesa kwenye account yako ya betting serikali inapata kodi.
Ukiliwa imekula kwako, ukila serikali wako na wewe.
Ile 10% ya 2024/2025 ilikuwa kubwa sana bado mnaona haitoshi mnaongeza kodi.
Mtu akila millioni 1 maana yake huko nyuma kaliwa zaidi ya millioni 5 na hakupewa fidia na serikali.
Wengine waliliwa mpaka million 5 then wakapata million 4.
Hii ni sawa na sheria ya madini na dawa za kukevya. Kizuri cha wote, kibaya ni msala wako.
Msiba mzito 😭 😭Wazee betting mmeguswa
Ova
Tafuta kazi nyingineHapo kwenye "ukila milioni ulishaliwa M5 huko nyuma" ndo pa kufanyia kazi zaidi kuliko hata hiyo kodi.
Kubeti si kazi ni mchezo.Tafuta kazi nyingine
Kumbe unafanya mchezo kwenye pesa yaani unachezea pesaKubeti si kazi ni mchezo.
Kubeti si mchezo tu, ni mchezo wa kijinga ambao kuna anayeliwa zaidi kwa kula kidogoKumbe unafanya mchezo kwenye pesa yaani unachezea pesa
Mchezo wa kijinga kwako kwakua hujafanikiwa nao Kuna wenzio ni kazi hata wengine wanaona hiyo kazi unayofanya ni ya kijinga hivyo Kila mtu na utafutaji wakeKubeti si mchezo tu, ni mchezo wa kijinga ambao kuna anayeliwa zaidi kwa kula kidogo
Ni mchezo wa kijinga. Kila la heri kwa hao wenye mtazamo tofauti.Mchezo wa kijinga kwako kwakua hujafanikiwa nao Kuna wenzio ni kazi hata wengine wanaona hiyo kazi unayofanya ni mchezo wa kijinga hivyo Kila mtu na utafutaji wake
Ni kweli hata wewe shughuli unayofanya ni ya kijingaNi mchezo wa kijinga. Kila la heri kwa hao wenye mtazamo tofauti.
Betting ni ujinga sana mkuu.Ni kweli hata wewe shughuli unayofanya ni ya kijinga