Uchaguzi 2020 Hili la Sheikh Ponda liacheni. Hatua ya Ponda ni kwa maslahi ya Waislam na Watanzania

Uchaguzi 2020 Hili la Sheikh Ponda liacheni. Hatua ya Ponda ni kwa maslahi ya Waislam na Watanzania

Ngoja muingie kwenye 18 ndio mtajiona mlivyo wajinga
Mbona mnapokuwa mnadai hiyo haki yenu mnafichaficha hamuitamki bayana? Mnaogopa nini? Kiongozi wenu tuu lissu ndiye aliyethubutu kutamka wengine mnafichaficha.
 
Hao mashehena wanasapoti dhuluma dhidi ya waislamu, wanabaguliwa kwenye teuzi, wanakatwa kisa ni waislamu wakiongea , musiba angekuwa ni muislamu angeshaozea ndani miaka, haya Hawa ma shehena awayaoni? Wanamtetea vipi mtu ambae anaesababisha kupungua kwa sadaka makanisani na misikitini. Wao Kama Wana ukawa yao na wasanii tuwaambie hawawezi shindana na upande wa haki
 
Mbona mnapokuwa mnadai hiyo haki yenu mnafichaficha hamuitamki bayana? Mnaogopa nini? Kiongozi wenu tuu lissu ndiye aliyethubutu kutamka wengine mnafichaficha.
Weka number yako ya simu ili wadai haki tukutambuwe na picha halisi
 
Labda utueleze huko kwa mazuzu wenzio wa chama cha mabango wanasemaje kwenye hilo
Kwanza mie sina ujinga wa kushabikia vyama hivyo huo upumbavu wenu wa masuala ya vyama mtaulizana wenyewe.

Mimi hapa nauliza kama Tundu Lissu amezungumzia kuhusu mahakama ya kadhi?tunaambiwa ni mpenda haki na tunajua hana unafki wala uoga,sasa amezungumzia hili la mahakama ya kadhi?
 
Hao wanaomponda Shehe Ponda ni nani kati yao alikwenda hosipitali kumtakia kheri Tundu Lissu alipojeruhiwa kwa risasi! Shehe Ponda alikwenda kumjulia hali kwani tukio lile lilimfadhaisha sana.
 
Kwanza mie sina ujinga wa kushabikia vyama hivyo huo upumbavu wenu wa masuala ya vyama mtaulizana wenyewe.

Mimi hapa nauliza kama Tundu Lissu amezungumzia kuhusu mahakama ya kadhi?tunaambiwa ni mpenda haki na tunajua hana unafki wala uoga,sasa amezungumzia hili la mahakama ya kadhi?
Kamuulize
 
Suala la dini na siasa lina mkanganyiko mkubwa sana. Inahitajika hekima ya hali ya juu sana kwenye huliendea hili suala.

Ila kwa namna yoyote ile lazima uelewe mahala Sheikh Ponda anaposimamia. Kwa mtu ambaye alishaonja machungu ya nguvu ya dola kama yeye ni wazi sana kuona wapi ataegemea kwenye wakati kama huu.

Waswahili wahenga wana ule msemo wao unasema, 'Aliyejeruhiwa.
 
Kila mtu asimamie anachokiamini.

Mambo ya kusemeana sio jukumu la ponda wala kiongozi yeyote wa kiislamu.
Ponda, nae ni mtanzania ana mapenzi binafsi ya itikadi ya kisiasa kama alivyo alhad na wengine wanaoshabikia ccm

Uzuri wa ponda hayumo kwenye payroll ya ccm, hao wengine wanafanya kazi ya shetani kwa kupokea malipo haramu ili watanzania wanyime haki na kukandamizwa
 
Nasubiri tamko kutoka kwa Maaskofu wangu wa Katoliki kuhusu kumtenga na kutomchagua yule mgombea mkatoliki aliyeahidi hadharani kuoa mke wa pili kinyume kabisa na utaratibu wa Kanisa letu linalo amini uwepo wa ndoa ya mke mmoja tu!
Maaskofu 'wengi' wa Katoliki hawana tofauti na Bakwata
 
Mufti ni kiongozi wa bakwata na si kiongozi wa waislamu hivyo asilazimishe waislamu kuichagua ccm inayotesa waislamu. Musiba angekuwa ni muislamu kitambo Sana angeshakuwa jela Ponda anaonewa sababu ni muislamu
 
kigogo.jpg
 
Tuna maslahi ya WATANZANIA WOTE na si maslahi ya vikundi fulani fulani. Ponda ni mwanaharakati muharibu tu.
 
Back
Top Bottom