BUBERWA D.
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 2,293
- 1,170
Mbona mnapokuwa mnadai hiyo haki yenu mnafichaficha hamuitamki bayana? Mnaogopa nini? Kiongozi wenu tuu lissu ndiye aliyethubutu kutamka wengine mnafichaficha.Ngoja muingie kwenye 18 ndio mtajiona mlivyo wajinga
Weka number yako ya simu ili wadai haki tukutambuwe na picha halisiMbona mnapokuwa mnadai hiyo haki yenu mnafichaficha hamuitamki bayana? Mnaogopa nini? Kiongozi wenu tuu lissu ndiye aliyethubutu kutamka wengine mnafichaficha.
Labda utueleze huko kwa mazuzu wenzio wa chama cha mabango wanasemaje kwenye hiloVp mahakama ya kadhi,Tundu Lissu amezungumzia ?
Kwanza mie sina ujinga wa kushabikia vyama hivyo huo upumbavu wenu wa masuala ya vyama mtaulizana wenyewe.Labda utueleze huko kwa mazuzu wenzio wa chama cha mabango wanasemaje kwenye hilo
KamuulizeKwanza mie sina ujinga wa kushabikia vyama hivyo huo upumbavu wenu wa masuala ya vyama mtaulizana wenyewe.
Mimi hapa nauliza kama Tundu Lissu amezungumzia kuhusu mahakama ya kadhi?tunaambiwa ni mpenda haki na tunajua hana unafki wala uoga,sasa amezungumzia hili la mahakama ya kadhi?
Ndio nauliza hapa mtamfikishia.Kamuulize
wewe mwenye maslahi nalo ndio unatakiwa uulizeNdio nauliza hapa mtamfikishia.
Ndio nina masilahi nalo maana kama Tundu Lissu anataka kula za waislamu basi lazima na waislamu wajue wanafaidika vp kwa kumpa kura zao,mie ndio nishauliza hapa.wewe mwenye maslahi nalo ndio unatakiwa uulize
Ponda, nae ni mtanzania ana mapenzi binafsi ya itikadi ya kisiasa kama alivyo alhad na wengine wanaoshabikia ccmKila mtu asimamie anachokiamini.
Mambo ya kusemeana sio jukumu la ponda wala kiongozi yeyote wa kiislamu.
Mange alieleza kila kitu hata hiyo bolt aliitaja ni dingi wa bilionea fulani hivi.Mimi sijui lissu
Ila ni kweli Alhady no qaumu luut?
Maaskofu 'wengi' wa Katoliki hawana tofauti na BakwataNasubiri tamko kutoka kwa Maaskofu wangu wa Katoliki kuhusu kumtenga na kutomchagua yule mgombea mkatoliki aliyeahidi hadharani kuoa mke wa pili kinyume kabisa na utaratibu wa Kanisa letu linalo amini uwepo wa ndoa ya mke mmoja tu!