Hili la Symbion kulipwa Tshs. Bilioni 356, January Makamba tunakutahadharisha mapema

Kwa serikali hii ni kama kutwanga maji kwenye kinu kuchukia ufisadi. Leo bi tozo anadai wazungu walivyoona misitu wacha wamkimbilie na deal za carbon trading.

Miaka yote watu wanapiga kelele humu ata huo uwekezaji wa green technologies in Africa ni part ya hizo hizo carbon trading otherwise hakuna mzungu mwenye akili timamu atakuja kuwekeza ivyo vitu africa, kibaya zaidi hizo cost za uwekezaji unaenda zilipa wewe mtanzania. TANESCO awawezi zi cover hizo costs ata wao wenyewe kupata faida shida sasa kwanini wana sign mikataba ya aina hiyo wakitoka nje ya nchi.

Hii nchi bila ya Magufuli mwingine tena mkali zaidi kushinda Magufuli original tu atuendi; kuna watu awataki kubadilika na hapo ndio kwenye vita kubwa zaidi.

Watanzania tunachukulia vitu poa sana.
 
Jaribu kushughulisha kichwa chako! Tunachotaka kujua ni undani wa hiyo Case kama ilikuwepo, na kama ni kulipa kwa nini malipo ya Symbion yawe haraka hivyo.Kumbuka kuna case ya Vhalambia ya ku- supply vifaa wakati wa Vita ya Kagera Serikali yetu haijalipa.
Hiyo Case ya Symbion ilifunguliwa lini na wapi? Je ilifunguliwa wakati wa Hayati Magufuli au baada ya kifo chake? Naona wewe unafurahia sana hizo fedha za Watanzania kukwapuliwa na hao Wahuni! Tupe hizo details.
 
Wewe mwenye akili umesaidiaje Symbioni wasilipwe?
Sijasema mimi nina akili, nilichoelezea ni facts; wenye jukumu la kupinga na ku justify hizo damages za kutengeneza ni mawakili wa serikali wenye info zote.

Binafsi nimekumbushia tu historia ya mzozo ulipoanzia hakuna mkataba uliovunjwa katikati, ni extension tu ndio Symbion walinyimwa.
 
Naona una Maslahi na jambo hili. Hata mi siafiki kinachoenda kufanyika, piga poroko zako kwa kuwa unayo maslahi huko
 
Hayo maswali yako yanapatikana kwa mwanasheria mkuu wa sirikali
 
Hapa mwamba tameer 'amelike", "ajadislike".
 
Anahusika yeye na zitto wakati wa kusaini mkataba wa symbion kipindi cha JK...kama leo serikali inaamua kulipa symbion wahusika wote walioshiriki kuasisi na kusaini huu mkataba mbovu watajwe na wachukuliwe hatua kali kama wahujumu uchumi ..ni ukweli kwamba kama serikali isingevunja huu mkataba hasara ingekuwa kubwa kuliko hii


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kesi ilikuwa mahakama gani? Ni kesi namba ngapi? Mbona tumeisikia juzi juzi tu zaman haikusikika?
 
Nyanoko mnamva,jaga ukalambe loshindo lwang'wa Makamba mnambiti ote na masala!
 
Nyanoko mnamva,jaga ukalambe loshindo lwang'wa Makamba mnambiti ote na masala!
 
Hizo Hela alipe Kalemani, ndiye alikuwa Waziri wakati huo, akishindwa Mali zake na za JPM ziuzwe kupata hiyo fedha
 
Soma hapa kesi iliamuliwa toka 2019
 
Mkataba wa symbion ulivunjwa Na jiwe, January anahusika nini hapo?
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…