Makamba, Makamo mwenyekiti, ukanda wote wa Msoga... HAWA KIHISTORIA NI MAJIZI , NI MAJIZI NA HAYANA HURUMA YOYOTE YA NCHI HII.
kinachoniuma, Tuna Taasisi ya Usalama Mbovu mbovu kupindukia, wao wanadeal na Wapinzani tu.
Haya, Katiba ya Nchi nayo pamoja na Ubovu wake wote, IMEKOSWA KIONGOZI WA KUISIMAMIA .
ITACHUKUA MIAKA MINGI SANA KUMPATA MAGUFULI MPYA.
saizi Kila mtu anajipigia, shamba la bibi!!!.... Anasimama mtu anakuambia "Nimeamua kufanya hii ROYO TUWA , kuitangaza nchi !!
Ujinga na Aibu kubwa ilofadhiliwa na wafanyabiashara ambao Sasa ndio wanaenda kulipwa mabilioni.