Hili la Symbion kulipwa Tshs. Bilioni 356, January Makamba tunakutahadharisha mapema

Mbona watu hawataki kusema ukweli? JPM hakuvunja mkataba bali alikataa kuongeza mkataba though DG wa Tanesco ali sign MoU ya ku extend mkataba,hii ilisababisha na yy atumbuliwe maana ilikua haileti maana ku extend mkataba wa megawatt 100 while una mradi wa kinyerezi II wa Megawati 240 ambao unakua commissioned soon.
And let be known MoU is a non legal binding agreement. Sijajua Symbions wanalipwa kwa ground zipi.
Hii inchi inakosa uzalendo kwakua tu kuna watu hawana uchungu na pesa za wanaichi or wananufaika kwa namna moja ama nyingine na malipo haya.
 
Bila Decree ya Mahakama hiyo fedha isilipwe.

Na ikilipwa tutajua tu kuwa inakwenda mifukoni mwa watu.
 
Soma contents, Symbion said they were seeking ......, hiyo ni taarifa tu! Gives us the facts of the case , case itself and the ruling/judgment! Na kama ndivyo kwa nini Serikali inakimbilia kulipa bila ku- appeal?! The answer for my question is very simple! " INSIDE JOB WELL DONE"!
But mind you, there comes a time where no stone will be left unturned!
 
Pamoja na kwamba umeandika kishabiki Sana na ki attack mtu ila kuna haja ya kufahamu je symbion walienda lini mahakamani na hukumu ya kulipwa ikatoka?

Hilo la kuunganisha umeme naliunga mkono kwa asilimia 500%,, afadhari tulipe hiyo cut throat price ila tuunganishiwe fasta kuliko ilivyokuwa hapo nyuma unalipa rushwa na unasubiria miezi au mwaka ndio upate umeme..
 
Sawa ya symbion ilikuwa ina seek,sasa vipi Kuhusu hao standard chartered bank mlishawalipa deni zao au mnasubiria waje kushika mali zetu tena?

Dawa ya deni ni kulipa,usikute ndio maana mindege imepaki tuu Kisa deni hilo deni,kwa hiyo serikali ilipe Ili mambo yaende Lee...

Mwendazake alivunja kimakosa na Kwa hiyo kama inazuia mambo mengine ya Nchi dawa ni kulipa deni.
 
Sujui mama Samia anamlipa fadhila mtu? Uteuzi wa huyo jamaa na timu nzima kule nishati ni utata mtupu. Anyway, Marekani ndio mkoloni / beberu la Tanzagiza.
Dawa ya deni ni kulipa,mandege mumenunua yamepaki hampewi access kwa sababu za ujinga wa sukuma gang..

Hizi case ndio Lisu alikuwa anasema Nchi itashitakiwa miga.
 
Msoga ni mtu wa hovyo, mlafi na mbinafsi asiye na chembe ya UZALENDO. Hivi watanzania tumerogwa MAGUFULI ALISEMA DHAIHIRI NIKIOONDOKA SIJUI NANI ATAFANYA HAYA... [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Wewe na Magufuli wako ni wapumbavu na majizi kwa mgongo wa Uzalendo..

Mzalendo wako alitusaidia nini cha maana cha kuongeza thamani ya maisha ya mliyekuwa mnamuita mnyonge?
 
Nijuavyo mimi ni kwamba, hizo Bilioni ni madili ya watu tu, hakuna cha symbion wala nini.

Wanajaribu kuwadanganya Watanzania kwa kisingizio hicho, lakini hizo fedha zote zitaingia mikononi mwa MBWA MWITU wasio na huruma hata kidogo kwa Watanzania.

Mbaya zaidi ni kwamba, ule mnyororo wa UFISADI alioukatakata JPM umeunganishwa upya na sasa wapo kazini kufidia miaka 5 ya JPM ambapo walishindwa kuiba.
RIP, JPM BABA YETU MPENDWA.
 
Kwa nini uvunje mkataba wakati unajua utakula hasara kubwa? Huu si ndio uhujumu uchumi?

Mliambiwa muwe mnatumia akili nyie mnatumia makalio na msuli,matokeo yake ndio haya sasa..

Hata Barrick wakiamua kwenda mahakamani mtawalipa damages vile vile.
 
Unfortunately huwezi justify hii allegations yako..

Ila binafsi napenda pesa hata iende kwa watu binafsi mnaosema wanapiga dili kuliko zilivyokiwa kwa sukuma gang maana wengine hakuna tulichofaidi zaidi ya umaskini kuongezeka..

Hakuna Rais alikuwa mjinga kama Mwendazake, pengine wenzetu mlionufaika nae ila binafsi alicause damage kubwa Sana.

Imagine hadi chanjo za watoto wachanga zilipotea achilia mbali condom,hii ni mifano midogo tuu hapo sijataja wizi na unyanyasaji waliokuwa wanafanya wateule wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…