Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,168
- 39,118
TFF ndiyo muidhinishaji wa mwisho wa Wachezaji wa ndani. TFF ndiye anayepokea majina yoote ya Wachezaji ligi zote 3 na kutoa Leseni.
Iweje Leo iruhusu timu yenye Wachezaji 8 pekee kuendelea na ligi? Kwani kiwango cha juu cha Idadi ya Wachezaji wanaoruhusiwa kusajiliwa ili timu ikizidisha iadhibiwe kipo lakini kiwango cha chini Hakuna?
Aibu mliyoleta Kwa soka la nchi hii na Taifa Kwa ujumla mnastahili kuwajibika wenyewe bila kusubiri shuruti. Nyie na bodi yenu ya Ligi wote tusikie mmejiuzulu kesho.