Hili la Tabora United TFF ni aibu yenu, kazi imewashinda

Hili la Tabora United TFF ni aibu yenu, kazi imewashinda

Bila bila

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2016
Posts
22,168
Reaction score
39,118
TFF ndiyo muidhinishaji wa mwisho wa Wachezaji wa ndani. TFF ndiye anayepokea majina yoote ya Wachezaji ligi zote 3 na kutoa Leseni.

Iweje Leo iruhusu timu yenye Wachezaji 8 pekee kuendelea na ligi? Kwani kiwango cha juu cha Idadi ya Wachezaji wanaoruhusiwa kusajiliwa ili timu ikizidisha iadhibiwe kipo lakini kiwango cha chini Hakuna?

Aibu mliyoleta Kwa soka la nchi hii na Taifa Kwa ujumla mnastahili kuwajibika wenyewe bila kusubiri shuruti. Nyie na bodi yenu ya Ligi wote tusikie mmejiuzulu kesho.
 
IMG_2558.jpg

kilichoniuma kwanini mhindi aogope kuolewa???eti emetema posa anarudisha mahari.
 
Wewe ndio umejiaibisha.
Kitayose walipewa siku 45 kulipa Deni wakapuuzia.
Wamefungiwa na FIFA hivyo automatically lazima TFF wawafungie.
They had it coming.
Ungeweza kuuliza kuliko kuwalaumu TFF direct.
Niliona taarifa baada ya hiyo ya fifa wakaendelea kusajili siku chache baada ya hiyo taarifa na walisema wamekamilisha malipo au walituhadaa
 
TFF ndiyo muidhinishaji wa mwisho wa Wachezaji wa ndani. TFF ndiye anayepokea majina yoote ya Wachezaji ligi zote 3 na kutoa Leseni...
Ni bora ungekaa kimya unaonesha hujui chochote katika hili
 
Ndio tabu ya kukurupuka kuanzisha uzi na kulaumu tu.No research no right to speak or write.
 
Hizi sheria za wachezaji 7 ziliwekwa ili ikitokea emergency watu wakaumia sub zikiwa zimeisha au red cards ndo zitumike, niwaulize swali? Je timu ikiamua mechi zake zote ichezeshe wachezaji 7 mpaka ligi iishe itakubaliwa...si wanakua wamekidhi vigezo???

Mleta mada ana hoja acheni ujuaji.... Kwa io hii tabora utd Kila game wakipanga wachezaji 7 mpaka ligi iishe wataruhusiwa?

Lazima Kila timu iwe na minimum kama ilivyo ya maximum ya wachezaji inayoweza kuwatumia....
 
Niliona taarifa baada ya hiyo ya fifa wakaendelea kusajili siku chache baada ya hiyo taarifa na walisema wamekamilisha malipo au walituhadaa
Waongo wale maana taarifa kuna taarifa wanasema wamelipa pesa siku ya mechi asubuhi
 
Hizi sheria za wachezaji 7 ziliwekwa ili ikitokea emergency watu wakaumia sub zikiwa zimeisha au red cards ndo zitumike, niwaulize swali? Je timu ikiamua mechi zake zote ichezeshe wachezaji 7 mpaka ligi iishe itakubaliwa...si wanakua wamekidhi vigezo???

Mleta mada ana hoja acheni ujuaji.... Kwa io hii tabora utd Kila game wakipanga wachezaji 7 mpaka ligi iishe wataruhusiwa?

Lazima Kila timu iwe na minimum kama ilivyo ya maximum ya wachezaji inayoweza kuwatumia....
Sio wachezaji 7 ni wachezaji 8. Timu ikiwa na wachezaji 7 pekee, mechi hairuhusiwi kuchezwa. Na ndio maana uliona Jana Tabora fc waliingia uwanjani wakiwa wachezaji 8 ila baadae kipa akaumia wakabakia wachezaji 7 tu na mechi ikaishia hapo hapo.
 
Back
Top Bottom