Ahahahahaha! Kweli hajui. Na badala ya kuutafuta ukweli kwanza, anakimbilia kuanzisha uzi! Ahahahahaha!!!!Hujui ulichokiandika
Niliona taarifa baada ya hiyo ya fifa wakaendelea kusajili siku chache baada ya hiyo taarifa na walisema wamekamilisha malipo au walituhadaaWewe ndio umejiaibisha.
Kitayose walipewa siku 45 kulipa Deni wakapuuzia.
Wamefungiwa na FIFA hivyo automatically lazima TFF wawafungie.
They had it coming.
Ungeweza kuuliza kuliko kuwalaumu TFF direct.
Ni bora ungekaa kimya unaonesha hujui chochote katika hiliTFF ndiyo muidhinishaji wa mwisho wa Wachezaji wa ndani. TFF ndiye anayepokea majina yoote ya Wachezaji ligi zote 3 na kutoa Leseni...
Waongo wale maana taarifa kuna taarifa wanasema wamelipa pesa siku ya mechi asubuhiNiliona taarifa baada ya hiyo ya fifa wakaendelea kusajili siku chache baada ya hiyo taarifa na walisema wamekamilisha malipo au walituhadaa
Hamia Pmbet mkuu, sisi tumepewa chetu halali achana na hao wahuniView attachment 2719280
kilichoniuma kwanini mhindi aogope kuolewa???eti emetema posa anarudisha mahari.
Sio wachezaji 7 ni wachezaji 8. Timu ikiwa na wachezaji 7 pekee, mechi hairuhusiwi kuchezwa. Na ndio maana uliona Jana Tabora fc waliingia uwanjani wakiwa wachezaji 8 ila baadae kipa akaumia wakabakia wachezaji 7 tu na mechi ikaishia hapo hapo.Hizi sheria za wachezaji 7 ziliwekwa ili ikitokea emergency watu wakaumia sub zikiwa zimeisha au red cards ndo zitumike, niwaulize swali? Je timu ikiamua mechi zake zote ichezeshe wachezaji 7 mpaka ligi iishe itakubaliwa...si wanakua wamekidhi vigezo???
Mleta mada ana hoja acheni ujuaji.... Kwa io hii tabora utd Kila game wakipanga wachezaji 7 mpaka ligi iishe wataruhusiwa?
Lazima Kila timu iwe na minimum kama ilivyo ya maximum ya wachezaji inayoweza kuwatumia....