Hili la Tabora United TFF ni aibu yenu, kazi imewashinda

Unaona sasa aibu inayokukuta? Siku nyingine usijidai mjuaji
 
Point yangu inabaki palepale tatizo ni TFF. Timu unayojua ina Wachezaji 8 pekee unairuhusuje kupeleka timu uwanjani?
Sasa ulitaka TFF waizuie timu isiende uwanjani wakati timu yenyewe inajiona inao uwezo na kanuni zinaibeba kucheza kwa idadi hiyo? TFF wangetumia kanuni gani kuizuia timu kutoingia uwanjani? Akili ni nywele
 
Akili siyo nywele, akili ni akili tu usifananishe na nywele Kwa vile umefuga nywele ndefu ukadhani Una akili nyingi. Kanuni inayohusu usajili inaitaka timu isiwe na Wachezaji chini ya 25, TFF imeona timu imepasisha Wachezaji 8 tu imekuwaje wairuhusu kushiriki ligi? Ninachomaanisha ni tofauti na timu ambayo imeshashiriki ligi ikiwa na Wachezaji wake waliotimia halafu inafika siku ya mechi wanafika 8 tu. Hili ni tofauti maana TFF walijua Wazi Kitayose ina Wachezaji 8 tu kinyume cha kanuni.
 
Sasa ulitaka TFF waizuie timu isiende uwanjani wakati timu yenyewe inajiona inao uwezo na kanuni zinaibeba kucheza kwa idadi hiyo? TFF wangetumia kanuni gani kuizuia timu kutoingia uwanjani? Akili ni nywele
Hakukuwa na sababu ya kuchezesha watu nane.Tumieni hekima.
 
Hakukuwa na sababu ya kuchezesha watu nane.Tumieni hekima.
Mkuu, nchi hii inaharibiwa na viongozi wapuuzi kama huyu. Haiwezekani TFF iruhusu timu iliyosajili Wachezaji 8 tu kwenye mfumo ishiriki ligi huo ni uzwazwa.
 
Kwa mfano Yanga inataka kumpanga Ngushi, unataka TFF iwazuie Yanga kwa kuwaambia huyo huwa hafungi? Yaani ulitaka TFF iizuie mechi ambayo timu zimefika uwanjani na ziko tayari kucheza? Halafu mbona Tabora wenyewe hata hawalalamiki, wanalalamika wengine tu?
 
Mkuu hawa ndiyo Mashabiki wa kibongo kila shabiki ni mjuaji.
 
Aibu zingine huwa ni kwa wote.Tabora wamekosea lakini kama nchi tunatafsirikaje ukizinfatia mfumo tunavyoendesha mambo yetu.Kama taifa huwa tunajiaibisha sana katika nyanja nyingi.
 
Wewe ndio umejiaibisha.
Kitayose walipewa siku 45 kulipa Deni wakapuuzia.
Wamefungiwa na FIFA hivyo automatically lazima TFF wawafungie.
They had it coming.
Ungeweza kuuliza kuliko kuwalaumu TFF direct.
Una point kiasi, lakini still TFF au Bodi ya Ligi wana kauzembe.

Yanga ambayo mechi yake ya kimataifa amechezea hapa hapa Dar hajaanza bado NBC Premier League. Why Azam ambae alihitajika kusafiri nje ya nchi asingehairishiwa mechi yake ili huyu Kitayose nae ajipange?
 
Aibu zingine huwa ni kwa wote.Tabora wamekosea lakini kama nchi tunatafsirikaje ukizinfatia mfumo tunavyoendesha mambo yetu.Kama taifa huwa tunajiaibisha sana katika nyanja nyingi.
Ni kweli Taifa linapata aibu, lakini aliyeisababisha ni Klabu, sio TFF kama baadhi ya watu wanavyolazimisha ionekane
 
Kitayosce hawakutaka kujipanga kucheza hiyo mechi, bali walijipanga iishe mapema kabla ya muda, na mipango yao ipo dhahiri kabisa. Walikuwa na uwezo wa kuandika barua kuomba mechi isogezwe mbele, hawakutaka maana walipanga kujidondosha. TFF ni taasisi iliyo chini ya serikali, inafanya kazi kwa maandishi. TFF haiwezi kuhisi kama timu fulani ina shida fulani, hadi iandikiwe
 
Ni kweli Taifa linapata aibu, lakini aliyeisababisha ni Klabu, sio TFF kama baadhi ya watu wanavyolazimisha ionekane
Msimamizi Mkuu wa soka la nchi hii ni TFF siyo klabu moja moja. TFF ilipaswa ku-predict aibu hii kabla maana hata Mimi wa Lusahunga Ngara nilijua Tangu dakika ya Kwanza kwamba Kitayose hawawezi kumaliza Mechi na Wachezaji 8 pekee bila Subs lazima tu watajiangusha na hawatarudi ili Mechi ivunjike. À
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…