Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaona sasa aibu inayokukuta? Siku nyingine usijidai mjuajiTFF ndiyo muidhinishaji wa mwisho wa Wachezaji wa ndani. TFF ndiye anayepokea majina yoote ya Wachezaji ligi zote 3 na kutoa Leseni.
Iweje Leo iruhusu timu yenye Wachezaji 8 pekee kuendelea na ligi? Kwani kiwango cha juu cha Idadi ya Wachezaji wanaoruhusiwa kusajiliwa ili timu ikizidisha iadhibiwe kipo lakini kiwango cha chini Hakuna?
Aibu mliyoleta Kwa soka la nchi hii na Taifa Kwa ujumla mnastahili kuwajibika wenyewe bila kusubiri shuruti. Nyie na bodi yenu ya Ligi wote tusikie mmejiuzulu kesho.
Kuna mchezaji raia wa ghana aliwashitaki huko FIFA, deni lilikuwa 50mlWaliokuwa wanadaiwa deni Gani?
Sasa ulitaka TFF waizuie timu isiende uwanjani wakati timu yenyewe inajiona inao uwezo na kanuni zinaibeba kucheza kwa idadi hiyo? TFF wangetumia kanuni gani kuizuia timu kutoingia uwanjani? Akili ni nywelePoint yangu inabaki palepale tatizo ni TFF. Timu unayojua ina Wachezaji 8 pekee unairuhusuje kupeleka timu uwanjani?
Akili siyo nywele, akili ni akili tu usifananishe na nywele Kwa vile umefuga nywele ndefu ukadhani Una akili nyingi. Kanuni inayohusu usajili inaitaka timu isiwe na Wachezaji chini ya 25, TFF imeona timu imepasisha Wachezaji 8 tu imekuwaje wairuhusu kushiriki ligi? Ninachomaanisha ni tofauti na timu ambayo imeshashiriki ligi ikiwa na Wachezaji wake waliotimia halafu inafika siku ya mechi wanafika 8 tu. Hili ni tofauti maana TFF walijua Wazi Kitayose ina Wachezaji 8 tu kinyume cha kanuni.Sasa ulitaka TFF waizuie timu isiende uwanjani wakati timu yenyewe inajiona inao uwezo na kanuni zinaibeba kucheza kwa idadi hiyo? TFF wangetumia kanuni gani kuizuia timu kutoingia uwanjani? Akili ni nywele
Hakukuwa na sababu ya kuchezesha watu nane.Tumieni hekima.Sasa ulitaka TFF waizuie timu isiende uwanjani wakati timu yenyewe inajiona inao uwezo na kanuni zinaibeba kucheza kwa idadi hiyo? TFF wangetumia kanuni gani kuizuia timu kutoingia uwanjani? Akili ni nywele
Hakika ipo siku mbuzi wataheshimiwa kuliko sisi.Mkuu, nchi hii inaharibiwa na viongozi wapuuzi kama huyu. Haiwezekani TFF iruhusu timu iliyosajili Wachezaji 8 tu kwenye mfumo ishiriki ligi huo ni uzwazwa.
Kwa mfano Yanga inataka kumpanga Ngushi, unataka TFF iwazuie Yanga kwa kuwaambia huyo huwa hafungi? Yaani ulitaka TFF iizuie mechi ambayo timu zimefika uwanjani na ziko tayari kucheza? Halafu mbona Tabora wenyewe hata hawalalamiki, wanalalamika wengine tu?Hakukuwa na sababu ya kuchezesha watu nane.Tumieni hekima.
Mkuu hawa ndiyo Mashabiki wa kibongo kila shabiki ni mjuaji.Kwa mfano Yanga inataka kumpanga Ngushi, unataka TFF iwazuie Yanga kwa kuwaambia huyo huwa hafungi? Yaani ulitaka TFF iizuie mechi ambayo timu zimefika uwanjani na ziko tayari kucheza? Halafu mbona Tabora wenyewe hata hawalalamiki, wanalalamika wengine tu?
Aibu zingine huwa ni kwa wote.Tabora wamekosea lakini kama nchi tunatafsirikaje ukizinfatia mfumo tunavyoendesha mambo yetu.Kama taifa huwa tunajiaibisha sana katika nyanja nyingi.Kwa mfano Yanga inataka kumpanga Ngushi, unataka TFF iwazuie Yanga kwa kuwaambia huyo huwa hafungi? Yaani ulitaka TFF iizuie mechi ambayo timu zimefika uwanjani na ziko tayari kucheza? Halafu mbona Tabora wenyewe hata hawalalamiki, wanalalamika wengine tu?
Una point kiasi, lakini still TFF au Bodi ya Ligi wana kauzembe.Wewe ndio umejiaibisha.
Kitayose walipewa siku 45 kulipa Deni wakapuuzia.
Wamefungiwa na FIFA hivyo automatically lazima TFF wawafungie.
They had it coming.
Ungeweza kuuliza kuliko kuwalaumu TFF direct.
Ni kweli Taifa linapata aibu, lakini aliyeisababisha ni Klabu, sio TFF kama baadhi ya watu wanavyolazimisha ionekaneAibu zingine huwa ni kwa wote.Tabora wamekosea lakini kama nchi tunatafsirikaje ukizinfatia mfumo tunavyoendesha mambo yetu.Kama taifa huwa tunajiaibisha sana katika nyanja nyingi.
Kitayosce hawakutaka kujipanga kucheza hiyo mechi, bali walijipanga iishe mapema kabla ya muda, na mipango yao ipo dhahiri kabisa. Walikuwa na uwezo wa kuandika barua kuomba mechi isogezwe mbele, hawakutaka maana walipanga kujidondosha. TFF ni taasisi iliyo chini ya serikali, inafanya kazi kwa maandishi. TFF haiwezi kuhisi kama timu fulani ina shida fulani, hadi iandikiweUna point kiasi, lakini still TFF au Bodi ya Ligi wana kauzembe.
Yanga ambayo mechi yake ya kimataifa amechezea hapa hapa Dar hajaanza bado NBC Premier League. Why Azam ambae alihitajika kusafiri nje ya nchi asingehairishiwa mechi yake ili huyu Kitayose nae ajipange?
Hatimaye familia ikabaki utupu.Ni kweli Taifa linapata aibu, lakini aliyeisababisha ni Klabu, sio TFF kama baadhi ya watu wanavyolazimisha ionekane
Msimamizi Mkuu wa soka la nchi hii ni TFF siyo klabu moja moja. TFF ilipaswa ku-predict aibu hii kabla maana hata Mimi wa Lusahunga Ngara nilijua Tangu dakika ya Kwanza kwamba Kitayose hawawezi kumaliza Mechi na Wachezaji 8 pekee bila Subs lazima tu watajiangusha na hawatarudi ili Mechi ivunjike. ÀNi kweli Taifa linapata aibu, lakini aliyeisababisha ni Klabu, sio TFF kama baadhi ya watu wanavyolazimisha ionekane