Hili la Taifa Stars linafurahisha

Hili la Taifa Stars linafurahisha

Aaron Arsenal

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2014
Posts
24,501
Reaction score
28,711
Mwaka 2000 wakati Wajerumani wakipitia kipindi kigumu kwenye mashindano ya EURO-2000 ndicho kipindi walimuita Lother Mathius aje kuokoa jahazi. Kipindi England walipokuwa na wakati mgumu 2011 waliwaita kina Alan Shearer waje kuwapa motisha wachezaji. Kipindi Cameroon walipotaka matokeo waliwatumia kina Nkono, Roger Milla na Biyik kuwapa motisha wachezaji. Hata Crotia waliwapeleka kambini kina Boban na Davor Suker kuwapa mbinu wachezaji. Kesho Tanzania wanatafuta matokeo kwa kuwatumia Shilole na Wema Sepetu. Kuna vitu vinafurahisha sana yaani Shilole amekuwa muhimu kwenye soka kuliko Lunyamila na Chambua Sekilojo. Wema anakuwa na mchango wa ushindi kuliko Pawasa na Matola? Nahisi wanafananisha soka na Bar, Casino ama Club za music na pombe. Wamesahau kuwa mpira ni science inayoitaji taaluma, weledi na ustarabu wa hali ya juu. Mpira hautaji picha za uchi kama mziki wala skendo za ngono bongo movie. Naacha akiba ya maneno hadi baadae baada mechi nitaeleweka tu.

'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
 
Hao wote uliowataja walikuwa wameshawahi kushiriki mashindano husika

Sasa akina Lunyamila na Matola sijui Pawasa wamewahi kushiki afcon ya mwaka gani!

Hujui huku kwetu aliye-fail anadharaulika kuliko ambaye hajafanya!

Sent using Jamii Forums mobile app
Siasa sio taaluma, ndio maana sifa kuu ni kujua kusoma na kuandika, hata kuhesabu iliondolewa, wengi wangekwama. Mambo yetu mengi yalikwama au kwenda hobela hobela, pale siasa ilipo taalumishwa na kuwa taaluma kuu.
 
Yuko kocha wa timu ya taifa ya Brazil jina sikumbuki alianya tafiti wachezaji soccer wa timu ya taifa alipo waachia kukutana, na wapenzi wao siku moja kabla ya mechi uwanjani kesho yake walipiga mpira mwingi sana

Wako Wema wangapi kwenye uhamasishaji?

Wachezaji wetu wa soccer wa zamani watakuletea mambo ya kamati za ufundi wa asili, kumbuka jezi ina msalaba hivyo ndumba tactics hazita fanyakazi.
 
tofautisha kamati za uhamasishaji mashabiki na kamati za ufundi boya wewe
 
Wewe upo kamati ipi?
IMG-20190324-WA0015.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwaka 2000 wakati Wajerumani wakipitia kipindi kigumu kwenye mashindano ya EURO-2000 ndicho kipindi walimuita Lother Mathius aje kuokoa jahazi. Kipindi England walipokuwa na wakati mgumu 2011 waliwaita kina Alan Shearer waje kuwapa motisha wachezaji. Kipindi Cameroon walipotaka matokeo waliwatumia kina Nkono, Roger Milla na Biyik kuwapa motisha wachezaji. Hata Crotia waliwapeleka kambini kina Boban na Davor Suker kuwapa mbinu wachezaji. Kesho Tanzania wanatafuta matokeo kwa kuwatumia Shilole na Wema Sepetu. Kuna vitu vinafurahisha sana yaani Shilole amekuwa muhimu kwenye soka kuliko Lunyamila na Chambua Sekilojo. Wema anakuwa na mchango wa ushindi kuliko Pawasa na Matola? Nahisi wanafananisha soka na Bar, Casino ama Club za music na pombe. Wamesahau kuwa mpira ni science inayoitaji taaluma, weledi na ustarabu wa hali ya juu. Mpira hautaji picha za uchi kama mziki wala skendo za ngono bongo movie. Naacha akiba ya maneno hadi baadae baada mechi nitaeleweka tu.

'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
Mkuu naona bahati inakuangukia mpaka sasa Tanzania 3:0 Uganda
 
Hushangai siasa zikiongelewa kanisani?
Only in Africa

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Back
Top Bottom