Hili la Uchumi Supermarket kutuuzia mifuko yenye nembo zao waache

Ujinga upo wapi hapo ewe mwenye busara Batili

Sijasema nabusara, nimesema wacha ujinga, soma kebehi uliondika alafu soma na maelezo yangu utajua umeandika ujinga. Mambo mengine ni yakitaalam sio kukurupuka.
 
Last edited by a moderator:

Sawa ndugu utunze wakati mwingine urudi nao
 
Sijasema nabusara, nimesema wacha ujinga, soma kebehi uliondika alafu soma na maelezo yangu utajua umeandika ujinga. Mambo mengine ni yakitaalam sio kukurupuka.

Sawa mtaalam
 

Kwa jinsi ulivokua ukilalamika nilipofikishiwa taarifa na mhudumu nikaona nikuachie mfuko kwa ustaarabu na kama njia ya kuretain customer.. sasa huku unatuita wajinga tena!?? Na kusema eti ulitaka rudisha bidhaa haaaahaaah!!
 
Kuuziwa mifuko ya plastic ni karibu dunia ndiko inakoelekea. Kwa Tanzania huenda itasaidia kupunguza uchafuzi wa mazingira. Tanzania , na hasa Dar es Salaam pananuka sana. Mitalo yote imezibwa na mifuko ya plastic. Mifuko ya plastic na nywele za plastic zinatupwa ovyo ovyo. Naona kinyaa sana.
 

Very true. Hata mifuko ya sabuni inaboa. Wauze kwenye mabox
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…