Hili la Uongozi wa Chawa wa Mama ni la kweli?

Hawa watu wanafamili. Hawaoni aibu kwa ujinga wao huu!?Kweli njaa mbaya sana lkn yao imezidi
 
Mimi nataka nimuulize raisi!?
Je ameruhusu kuwa na watu wa namna hii kwenye uongozi wake!?
 
Ni kweli wapo

Kuna t-shirt kabisa na card zao

Ni taasis inayotambulika
 
Mimi mwanaCCM mwenye kadi hai ya chama ila hiki wanachokiita CHAWA WA MAMA sikubaliani nacho kabisa. Hicho ni kikundi cha wahuni wanaokichafua chama. Kamati ya maadili ipige marufuku vikundi vya kihuni kama hiki cha Chawa wa Mama. Fikiria mtu kama Maimartha ni mwenyekiti wa hili genge kitaifa!!!.. inaumiza sana kuona upuuzi kama huu unafumbiwa macho ndani ya chama.
 
kuna wasomi wajinga sana.

mf. angalia yule spika wa mchongo na bunge lake la mchongo

JESUS SAVES
 
Mimi mwanaCCM mwenye kadi hai ya chama ila hiki wanachokiita CHAWA WA MAMA sikubaliani nacho kabisa. Hicho ni kikundi cha wahuni wanaokichafua chama. Kamati ya maadili ipige marufuku vikundi vya kihuni kama hiki cha Chawa wa Mama. Fikiria mtu kama Maimartha ni mwenyekiti wa hili genge kitaifa!!!.. inaumiza sana kuona upuuzi kama huu unafumbiwa macho ndani ya chama.
Wewe mwanachama wa CCM u7nawaogopa chawa wa mama. Chawa wana kazi yao na CCM ina kazi yake. Chawa wa mama siyo lazima awe CCM. Chawa wa mama kazi yao kuwamulika wana CCM wasiompenda mama. Wewe kama haumo kwenye kundi hilo unaogopa nini. Wacha nao watafute chakula cha watoto. Uchawa ni kazi kama kazi nyingne kama ualmu, udaktari au uzibuaji choo. Hakuna kazi mbaya!
 
Chama kimeshawapiga marufuku.
 
Back
Top Bottom