Maundumula
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 7,553
- 3,081
Mjini shule
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu wakati mwingine unaweza kuamua kujilipua tu katika inshu kama hizo,kuwa risk taker ili ujifunze kutokana na makosa yako,kumbuka woga wako ndio umaskini wako pia.....toa hela upate fedha,hiyo kitu mbona ipo sana hao wanaokuambia eti kitu kama hicho hakuna katika sokola ajira ni kwamba wamekalili na hayajawakuta.....but play with steps and be carefully.Kulikuwa na Bandiko hapa la kazi mgodini Songea,sasa kwa baadhi ya watu walioomba wameambiwa shortlist inaandaliwa na vigezo vya kuingia kwenye shortlist inahitajika utume Tsh Laki 6 (600,000), lakini kwa kuanzia inabidi uwatumie laki 2(200,000) halafu ukishaenda kwa inteview then inabidi uwalipe inayobaki ie laki 4(400,000).
JE kama kuna mwenye details zaidi atujuze hii kitu ipo sawa au wanaweza kuingia mkenge hawa watakaoanza kutuma hizo laki 2? Na hizi nafasi ( nyingi za Operators) zilitoka kwenye gazeti au ni kwenye internet pekee?? Manake mambo ya mtandao hapa usije ukaingia UPOPO.
Nawakilisha.