Hili la ushuru wa mazao kwa mkulima wa mikoa ya kusini halipo sawa.

Hili la ushuru wa mazao kwa mkulima wa mikoa ya kusini halipo sawa.

Nyangabo2022

Senior Member
Joined
Nov 13, 2022
Posts
126
Reaction score
195
Ndg wanaforum nmiona nlilete kwenu swala linalohusu mkulima kutozwa ushuru wa mazao hata ikiwa gunia moja wakat anapita geti la ushuru atokapo shamba kwenda kuhfadhi mazao yake,
Ni Jambo lilonitia hasira Sana kutokana na matamko ya viongozi wakubwa wa nchi yetu kuwa ni marufuku kulipa ushuru kw mzgo chin ya Tani 1 lakin huku kusini wanalazmisha hata kigunia kimoja. Je hili lipoje? Limenitokea miaka miwl mfululizo juz nmelipa ushuru kwa gunia mbili?,
Mikoa km Ruvuma kuko nyuma Sana ni km serkali haipo huku Mambo mengi hayako sawa.
 
Lipa Tu mkuu ushuru wenyewe hauzidi 2k na huku unataka Barabara ziboreshwe Kwa mabilion
 
Nilipigwa faini dah siwez sahau ila fresh tu tunazidi pambana God atazidi kutubless 🙏
 
Back
Top Bottom