Hili la Wabongo kusuasua kwa maamuzi linakaa vipi

Nadhani mtoa maada swala la lugha si kigezo cha kumhukumu mtu kwan hata wanaposema mtusubiri tukakutane tena kwanza sina hakika kama wanapo kutana wanatumia lugha ya malkia hapana kama tunaona haitulidhishi sisi kama nchi lazima tuseme No nadhani mna nafasi ya kuendelea tukiona kuna faida tutakuja.
 

Ndio maana nikasema hujanielewa, na sio wewe tu, wote mnaojibu naona hamjanielewa, nimekuomba urejelee bandiko langu upya.

Mimi sina matatizo na msimamo wenu, mnaweza mkawa na mantiki, hoja yenu ya msingi inaweza ikawa sahihi, wala hilo sina shida nalo.
 

Hoja yako ni kusua sua. Hatusui sui ndio maana tumetoa maamuzi hatusaini. Ama kutosua sua kwa maamuzi kwako ni lazima kusign? Tumekuwa engaged kwa mazungumzo na maamuzi ya kutoa sua sua ndo hayo hatusaini.
 
74 arrested in Rochester, New York


The protests in Rochester, New York on Friday resulted in 74 arrests, the city's police chief Michael Ciminelli said in a news conference.

"This is as accurate as I can say at this point. There were 74 arrests for disorderly conduct. There were also two charges of resisting arrest," Ciminelli said.
Black Lives Matter protesters return to the streets - CNN.com
 
Do you have anything to teach M7?

Tatizo kuu kwa jamaa zetu hawa wanakuwaga na an inflated view of their importance katika kanda yetu hii ya Africa Mashariki - remnant ya colonial mentality is still embeded kwenye mbongo zao - itachukua karne kuwa- arased completly.

Hawana kitu chochote cha kuwafunza raia na viongozi wa Africa Mashariki, wafanye mambo yao ambayo wafikiri yana manufaa kwao lakini wasitake kulazimisha Nchi nyingine zi comply na mambo yao yanayo tia shaka.

Sisi Watanzania tuna waamini Viongozi wetu kwamba hawawezi kujaribu kutumbukiza Taifa letu kwenye uncharted waters, mataifa/Viogozi wanao shinikizwa na nchi za magharibi kupitia a fast track avenue wakajikuta wana-sign makubaliano bila ya kutafakali long term implication yake watakuja kujilahumu as days goesby - sisi kama Watanzania ujinga wa karne ya kumi na nane wa Chief Mangongo atuwezi kuurudia tena.
 

Hawa ma racists Policemen kiboko yao ni sharp shooter snipers wawape fundisho kidogo ili wajirekebishe na kijua kwamba Black lives also matters.

Sio kwamba napigia debe mauuaji lakini Polisi wa Marekani wamezidi kwa uonezi wa watu weusi.
 
Hawa ma racists Policemen kiboko yao ni sharp shooter snipers wawape fundisho kidogo ili wajirekebishe na kijua kwamba Black lives also matters.

Sio kwamba napigia debe mauuaji lakini Polisi wa Marekani wamezidi kwa uonezi wa watu weusi.

huyo snipper alikuwa hatari sana. Yani ana sniff polisi tu mpaka 12.
 
Ulifukuzwa kwenu
huyo snipper alikuwa hatari sana. Yani ana sniff polisi tu mpaka 12.

Yule akuwa raia wa kawaida ilipitia mafunzo ya kijeshi huko huko Marekani si ajabu aliwahi kuwa member wa Navy SEAL wanasema alirudi mwaka jana au mapema mwaka huu kutoka vitani Afghanistani - sina shaka na huko alikuwa anafanya kazi za udunguaji akitumiwa na US Army, alikuwa ni kijana wa miaka 25 tu.

Kwa nini nasema alikuwa na mafunzo ya kikomandoo ya Navy SEAL, kwanza ni kule kujua jinsi ya kujichimbia na jinsi ya kuweka booby traps kuzunguka jengo alipo jichimbia, pili ule utunguaji wake wenye uhakika i.e ulengaji mahili wa shabaha bila shaka alikuwa anatumia a powerful/high velocity telescopic sighted sniper rifle.

Mwisho, kwa nini Polisi waliamua kutumia a robot ladden with high explosive bomb kumuua/lipua jamaa kuliko kujaribu ku defuse mabom aliyo zungushia nyumba na kumfuata huko aliko na kumpiga risasi - jibu ni kwamba walikuwa na historia yake ya kijeshi - walijua kwamba wakijaribu kupigana nae maafisa wengi wangepoteza maisha ndio maana waliamua kulipua jengo zima - hii ni mara yangu ya kwanza kusikia Polisi wa Marekani wanatumia mabom kuua mwaarifu. Hayo ni naoni yangu.
 

Endelea kijitapa hapa.

Hakuna aliewashika mashati msiende kuweka saini huo mkataba.

Kifupi ni kwamba, Tanzania haipelekeshwi kishamba hivyo.

Kama wanawachelewesha watoeni EAC basi. Mbaki nyie wenye haraka.
 

Kenya amebaki peke yake. Ameamua kufunga ndoa na Alshabab.
 

Wakenya muda wote ni selfish sana. Viongozi wanaangalia magenge yao ya kupora mali za umma.

Pamoja na uchadema na uccm, Tanzania is far better than Kenya.

Huyu jamaa anapiga kelele hapa ila haangalii hasara atakayoipata.

Halafu linapenda sifa za kijinga, bogus.
 
Endelea kijitapa hapa.

Hakuna aliewashika mashati msiende kuweka saini huo mkataba.

Kifupi ni kwamba, Tanzania haipelekeshwi kishamba hivyo.

Kama wanawachelewesha watoeni EAC basi. Mbaki nyie wenye haraka.

Mkuu remarks zako zenye busara zimenikumbusha wimbo wa Marquis du Zaire - It goes:

"Usiende mbio mbio kukimbikia MLIO, kumbe unako kimbilia kuna KILIO - utapatwa na ajali/maafa watu watakushangaa!!"

Sijui kama nimepatia beti zake, lakini wimbo huu unasema jambo la maana sana - sina shaka wenzetu kuna kitu watajifunza kutokana ni wimbo huo wenye hekima.
 
eeh bwana nani kakuambia maisha Kenya ni magumu
nyie endeleeni kushobokea hizo ngozi nyeupe wenzenu walio huko juu wanafaidika we mpiga raundi huku jf badae urudi kwenye fulu suti lako la mabati mana hata hao wageni hawataki kukaa na nyie mnaowashobokea
 
View attachment 364661 nyie endeleeni kushobokea hizo ngozi nyeupe wenzenu walio huko juu wanafaidika we mpiga raundi huku jf badae urudi kwenye fulu suti lako la mabati mana hata hao wageni hawataki kukaa na nyie mnaowashobokea
sasa kwanza nani kakuambia wazungu tunawashobokea utasemaje kuhusu wannamuziki wenu ambao kamwe hawatamhusisha dada mweusi katika video zao akina diamond Ben Paul nk aafu mnavyopenda kujibleach eti ndio mkue weupe zaidi mkuu kauli yako kuhusu hili nini?kibera hata haina zaidi ya witu laki moja we bwege kwani wakenya wote ni laki moja tu? Kenya real estate ni sekta inayokuwa kwa kasi sana saa unataka kusema kwamba wahindi na wazungu walio asilimia moja tu ya idadi ndio wanaoishi hapo wenyewe umewahi kuja Kenya ukaona sehemu ilio wazunguu pekee aliyeposti hiyo ni bwege kama wewe na nikuulize tu mkuu hapo dar hakuna wazungu niambie mgodi gani Tanzania unaosimamiwa na mtanzania kaka kabla uje hapa kubwata vikiria ya kwenu
 

Huyu mbuzi anajidai kuwa wao wapo na haraka kila siku kumbe empty head tu.

Kenya hakuna ajira anakuja kugongea Tanzania halafu anakuja na kebehi za kipuuzi.

Hata rais wake Kenyatta anajua wazi, bila Tanzania hakuna kitakachoendelea EAC. Sisi ndio last say wa hii block.

CoW imeshakufa kifo cha mende, wao walijidai wana haraka sana. Kiko wapi?

Mbona hao Uganda na Rwanda wamewageuzia kisogo? Kwanin wasiwaite nao vigeugeu? Kwanin iwe Tanzania tu?

Ipo wapi single visa? SGR hadi Rwanda ipo wapi? Museveni kawatosa na bomba, Sudani Kusini anaangalia kwa bwana mkubwa Tanzania.

Kenya hawajiamini hata kidogo, wakifanya kitu lazima wa-crosscheck Tanzania watasemaje au kufanyaje. Watachokonoa tu.

Leo tumegoma kusign EPA, kesho utasikia na wao wamegoma kutia saini. Kwasababu wanaume wao Tanzania wamekataa.

Hata hiyo EAC tupo tu kwasababu ni majirani, wakizingua tunawatimulia mbali na huo umoja tunauvunja na hawana cha kutufanya. Wakajiunge na Somalia na Eritrea.
 
Na nyie mnavyopigia kelele huko vyakwenu?Endeleeni kulamba miguu na kudhani na nyie mtakuja kua kama hao mabwana zenu we piga tarumbeta tu wenye vyao wanajilia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…