Nimekuelewa vizuri, sema nimekujibu ile topic ile kule kwa kutumia hii ktk kigezo hiki.
Turudi kwa topic.
Una negotiate ukiona negotians zako hazi make through unajitoa. Kama UK walivyonegotiate wakashindwa wameamua kujitoa. Hiyo haina maana kuwa huna msimamo, hiyo ndo ina maana unawezo wa ku stand kwa miguu yako.
On top if any, inawezekana je uwe na free market bila free movement ya watu? just curious to know. Wao wanakuja kupatia VIZA airport kwa kujaza tu jina na tarehe ya kuzaliwa kwenye ka form uchwara. Wewe omba sasa VIZA ha ha ha, samaki na ndizi zako zote zitaoza kabla hata yakupata VIZA.
Free market inaendana na free movement ya watu, unaenda kutafuta soko kwanza na wadau. Wao wangeanza kwanza kwa ku scrap VIZA watu wa roam EU bila viza, Just to say the least. Pili swala la standard la bidhaa liangaliwe upya, bidhaa zetu very hardly zita pass std yao wana visababu vingi mno vya kuzuia bidhaa zetu zisingie sokoni kwao.
Mwisho, tume negotiate tumeshindana, tumekataa ku sign mkataba wao, sasa hiyo ni weakness ama ni sehemu ambayo tuko strong? Nafikiri tungekuwa weak kama tungesaini harafu baadae tukaaanza kulalamika na kutaka kujitoa kama UK.
Kama chief Magungo alivyosaini mikata ya kilaghai akaja kulazimisha akina Mkwawa kupigana hadi kufa kwa kulalamikia hizo treaty. Hiyo ndo weakness, mkuu.