Hili la Wabongo kusuasua kwa maamuzi linakaa vipi

Tanzania tunasonga kama nchi siyo mtu mikataba ya mangungo kwetu ni big NO ingieni nyie sie wananchi wenye nchi hawataki. Nyie viongozi wenu wenye nchi acha wasaini. Utalii tulikataa, ardhi no, common visa no kama mnataka anzishesheni umoja wenu wa Kenya, Uganda na rwanda mbona umewashinda mmerudi tena kwetu.
Ahsante saana! Nahisi kwa maelezo haya mazuri watakuwa wamekuelewa
 
Kwani nani kawakataza Kenya ku-sign hiyo agreement? Yaani kila kitu mpaka mpigie kelele waume zenu watanzania!
 
Nadhani wabongo hawakifahamu vizuri masoko ya leo na yajaayoo, hasa katika suala la "economies" of scale. Kadri tunavyozidi kukomaa kiumri na kiujuzi, ni muhimu kuwa na busara kwenye maamuzi. Na hapo ndo naamini wabongo wameadimka, hususan tukiangazia sehemu mbali mbali ya dunia, wanaungana kwa lengo la kupata soko bora kwa bidhaa/huduma zao: tizama ASEAN(S.E.Asia), Mercosur(S.America), EU, ECOWAS.... yote haya zina interests za nchi husika zaidi ya masuala ya biashara kv usalama.

Wabongo naona hamauamini ushirkiano ,mnaona tumbo mbele kwanza. Hata kwenye hayo muungano nimetaja usishangae kuna lile wanaloita "give and take", yaani compromise. Naomba mujuzwe sio lazima upate kila kitu kwenye dili. Hii aina ya maamuzi inatokana na akili iliyokomaa, sio ya vikao visivyoelewa dunia ya leo.

Kwa hiyo, naona hamna weledi katika maamuzi yenu, acheni na hii ustaarabu nna umakini yenu, hamujui kutafuta wala kuona fursa, ndo chanzo cha usuaji wenu. Naona kwa hili hamjambo sana majirani.
 
Wabongo wabongo nendeni mkaungane wenyewe kwani wabongo waume zenu hadi maamuz yao yawaumize kitu haina faida kwetu tukubali ya nini kila mtu na 50 zake hio Cow yenu haiwasaidii bado mnakuja kulia kwa wabongo??
 
Nadhani wabongo hawakifahamu vizuri masoko ya leo na yajaayoo, hasa katika suala la "economies" of scale. Kadri tunavyozidi kukomaa kiumri na kiujuzi, ni muhimu kuwa na busara kwenye maamuzi. Na hapo ndo naamini wabongo wameadimka, hususan tukiangazia sehemu mbali mbali ya dunia, wanaungana kwa lengo la kupata soko bora kwa bidhaa/huduma zao: tizama ASEAN(S.E.Asia), Mercosur(S.America), EU, ECOWAS.... yote haya zina interests za nchi husika zaidi ya masuala ya biashara kv usalama.

Wabongo naona hamauamini ushirkiano ,mnaona tumbo mbele kwanza. Hata kwenye hayo muungano nimetaja usishangae kuna lile wanaloita "give and take", yaani compromise. Naomba mujuzwe sio lazima upate kila kitu kwenye dili. Hii aina ya maamuzi inatokana na akili iliyokomaa, sio ya vikao visivyoelewa dunia ya leo.

Kwa hiyo, naona hamna weledi katika maamuzi yenu, acheni na hii ustaarabu nna umakini yenu, hamujui kutafuta wala kuona fursa, ndo chanzo cha usuaji wenu. Naona kwa hili hamjambo sana majirani.
Muungano wowote wa kibiashara ni lazma uwe unanufaisha pande zote mbili....
Na kwa upande wa nchi yetu ..hili haliwezi kutoka kirahisi

Sera ya sasa ya nchi yetu ni ya viwanda hivyo, its too early to expose expected or infant industries to these kind of competition...

Alafu tambua kuwa Kenyans mna strong private sector which was strengthened from your independence day up to date lakini tz ni mid 1990's ambayo kwa sasa unakua na hili linadhihirishwa na kukua kwa "middle income class" kuliko nchi yoyote ya Afrika mashariki....
Hivyo, yawezekana ninyi mna mazingira wezeshi zaidi

Hatuogopi ila muda bado.....
Ila bado kitambo kifupi
 
Lengo mojawapo ya miungano ni kuwezesha washirika wake kumudu hali ngumu . Sote hatuwezi kuwa na uwezo sawa lakini pamoja tutaweza, akili sharp nyingi sana EAC.
 
Ilishakuepo EAC ya kwanza na yaliyotokea tulishajionea ngoja sa hivi twende kwanza na maslahi ya Taifa letu kwanza mkiweza vumilieni kama mnaona mnawekewa kiwingu kimbieni tu ila sa hivi mambo yanafanyika kwa kuangalia kwanza upande wetu na wengine baadae
 
Icho kingereza ni lugha tu ambayo ata mtu ambae hajasoma azungumza na sio kipimo cha intelligence .....you must stop thinking that English is the measure of understanding....ni lugha tu kama kichaga au luo acha ushamba wewe
Ni kama wao wasivyoweza kuongea kiswahili chenye radha, ndimi zao zimejaa ukakasi wa rafudhi za makabila yao, utatamani kumsikia mnyarwanda akiongea kiswahili kizuri kuliko Mkenya pamoja na kutangulia kukitumia kwenye shughuli mbalimbali za serikali ukilinganisha na nchi zingine za Afrika mashariki ukiondoa Tanzania.
 
EPA has never made much sense for Tanzania

Former President Benjamin Mkapa

The European Commission reportedly proposed signature of the EAC EPA in Nairobi, on the sidelines of the 14th session of the UN Conference on Trade and Development (UNCTAD XIV).

This is a major quadrennial event where all UN Member States negotiate guidance for UNCTAD, a UN institution working on trade and development. For the European Commission, it would have been a propitious place for a signature ceremony in order to project the EPA as a ‘trade and development’ agreement to the benefit of EAC. Yet, the agreement is antithetical to Tanzania’s as well as the region’s trade and development prospects.

The EPA for Tanzania and the EAC never made much sense. The maths just never added up.

The costs for the country and the EAC region would have been higher than the benefits. As a Least Developed Country (LDC), Tanzania already enjoys the Everything but Arms (EBA) preference scheme provided by the European Union i.e. we can already export duty-free and quota-free to the EU market without providing the EU with similar market access terms.

If we sign the EPA, we would still get the same duty-free access, but in return, we would have to open up our markets also for EU exports. Threats to domestic producers and industries The EPA is a free trade agreement.

Tanzania would reduce to zero tariffs on 90% of all its industrial goods trade with the EU i.e. duty-free access on almost all EU’s non-agricultural products into the country.

Such a high level of liberalisation visà- vis a very competitive partner is likely to put our existing local industries in jeopardy and discourage the development of new industries. Research using trade data shows that Tanzania currently produces and exports on 983 tariff lines (at the HS 6 digit level).

(The EU produces and exports on over 5,000 tariff lines). When the EPA is implemented, 335 of the 983 products we currently produce would be protected in the EPA’s ‘sensitive list’, but 648 tariff lines would be made dutyfree; i.e. the existing industries on these 648 tariff lines would have to compete with EU’s imports without the protection of tariffs. Will these sectors survive the competition?

These 648 tariff lines – thedomestic sectors or industries, which are likely to be put at risk include agricultural products (e.g. maize products, cotton seed oil cake); chemical products (e.g. urea, fertilisers); vehicle industry parts (tires);medicaments; intermediate industrial products (e.g. plastic packing material, steel, iron and aluminium articles, wires and cables); parts of machines and final industrial products (e.g. weighing machines, metal rolling mills, drilling machines, transformers, generating sets, prefabricated buildings etc); parts of machines (parts of gas turbines, parts of cranes, worktrucks, shovels, and other construction machinery, parts of machines for industrial preparation/ manufacturing of food, aircraft parts etc).

The list does not stop here. Liberalisation (zero tariffs) also applies to the many industrial sectors that Tanzania and the EAC do not yet have existing production/exports – about 3,102 tariff lines for Tanzania.

Threatening Regional Industrialisation and Trade

Statistics show that in fact, for the EAC region, the African market is the primary market for its manufactured exports. In contrast, 91% of its current trade with the EU is made up of primary commodity exports (agricultural products such as coffee, tea, spices, fruit and vegetables, fish, tobacco, hides and skins etc).

Only a minuscule 6% or about $200,000 of EAC exports to the EU is composed of manufactured goods.In contrast, of the total EAC exports to Africa, almost 50% is made up of manufactured exports - about $2.5 billion - according to 2013 – 2015 data. Of this, $1.5 billion are EAC country exports to other EAC countries.

These figures tell two stories: One; the importance of the African market for EAC’s aspirations to industrialise. In contrast, the EU market plays almost no role in this.Two; the EAC internal market makes up 60% of EAC’s manufactured exports to Africa, i.e., the EAC regional market is extremely valuable in supporting EAC’s industrialisation efforts.

The EPA would threaten this regional industrialisation opportunity that is currently blossoming since most EU manufactured products would enter the EAC market dutyfree. Just as our manufactured products are not competitive in the EU market, even though they can be exported dutyfree, might it not be the case that when EU manufactured products can come duty-free into the EAC market, EAC manufactured products may also not sell? The EPA could in fact destroy our economic regional integration efforts.

The pains EAC has taken to build a regional market may instead help serve EU’s commercial interests by offering the EU one EAC market, rather than ensuring that that market can be accessed by our own producers.

Removing an Important Industrialisation Tool - No New Export Taxes

The other area where the EPA hits the heart of our industrialisation aspirations are its disciplines on export taxes. At the WTO, export taxes are completely legal.The logic of export taxes is to encourage producers to enter into value-added processing, hence encouraging diversification and the upgradation of production capacities. Developed countries themselves had used these policy tools when they were developing.

The EU has a raw materials initiative aimed at accessing non-agricultural raw materials found in other countries. According to the European Commission, ‘securing reliable and unhindered access to raw materials is important for the EU. In the EU, there are at least 30 million jobs depending on the availability of raw materials.’ In implementing this initiative, the EU has used trade agreements to discipline export taxes.

The EPA prohibits signatories from introducing new export taxes or increase existing ones. For Tanzania and the EAC region with its rich deposits of raw material, including tungsten, cobalt, tantalum etc; such disciplines in the long-run would be incongruent with our objective to industrialise and add value to our resources.

Losing Important Tariff Revenue - Shrinking the Government Coffer

The other area of loss resulting from the EPA is tariff revenue, and the numbers are not small. Conservative estimates (assuming import growth of 0.9% year on year) show that for the EAC as a whole tariff revenue losses would amount to $251 million a year by the end of the EPA’s implementation period Cumulative tariff revenue losses would amount to USD 2.9 billion in the first 25 years of the EPA’s life.

For Tanzania, the losses based on 2013–2014 import figures are about $71 million a year by year 25. Cumulatively, just for Tanzania, they come up to $700 million over the first 25 years.

Where is the Promised Development Aid?

EU has made many promises that the EPA would be accompanied by development assistance. Hence the EAC EPA incorporates a ‘Development Matrix’ containing a list of economic development projects for the EAC. The price tag of implementing this Development Matrix is $70 billion.

The Matrix and assistance is to be reviewed every 5 years. For the time-being, the EU has pledged to contribute a paltry $3.49 million, which translates into 0.005% of the total required funds!This is also a far cry from the tariff revenue losses the region faces –the $251 million a year mentioned above.

EPA to safeguard Kenya’s flower Industry – A Fair exchange?

The only area where the EPA is supposed to serve the interest of the EAC is by providing duty-free access to Kenya. As a non-LDC, Kenya does not have duty-free access via the EU’s EBA. Kenya’s main export item to the EU is flowers – just over $500,000 a year.

Without the EPA, Kenyan’s flowers would be charged a 10% customs duty. There are other Kenyan exports also –vegetables, fruit, fish - that will face tariffs. However, the flower industry has thus far been the most vocal. Nevertheless, all in all, Kenyan exports to the EU market (including the UK) amounts to about $1.5 billion.

If no EPA is signed, the extra duties charged to Kenyan exports amounts to about $100 million a year. Is this worth signing an EPA for? -- The avoidance of duties of $100 million? The tariff revenue losses as the EPA is implemented (and more tariff lines are liberalised) would be comparable.

This does not even include the tariff revenue losses of the other EAC LDCs, nor the challenges posed to domestic/ regional industries. In addition, the Brexit development is further reason for the region to pause and reconsider.

The UK is a major export market for Kenya, absorbing 28% of Kenya’s exports to the EU. This reduces the EPA’s supposed ‘benefits’ by a quarter for Kenya. There is a possible solution for Kenya – to apply for the EU’s Generalised System of Preferences Plus scheme (GSP+). Under this, almost all of Kenya’s current exports could enter EU duty-free including flowers and fish.

This option could be explored. Alternatively all EAC countries would do well to attempt to diversify production and exports away from primary commodities towards value-added products, and also to diversify our export destinations. Africa is a critical market for EAC’s manufactured goods. Regional integration and trade is the most promising avenue for EAC’s industrial development. The EPA would derail us from that promise.

  • The author is Third President of the United Republic of Tanzania

MY TAKE
This is a shame, €500,000 flowers worthy of export to the EU should be a reason to grant 90% duty free to EU products in Tanzania! If that the case Tanzania should quit the EAC!

nomasana, sam999, NairobiWalker, hbuyosh, msemakweli, simplemind, Kimweri, Bulldog, MK254, Kafrican, Ngongo, Ab_Titchaz, mtanganyika mpya, JokaKuu, Ngongo, Askari Kanzu, Dhuks, Yule-Msee, waltham, Mzee, mombasite gabriel, Juakali1980, Boda254, mwaswast, MwendaOmo, Iconoclastes, oneflash, Kambalanick, 1 Africa, saadeque, burukenge, nyangau mkenya, Teen-Upperhill Nairobi, kadoda11
 
nomasana, sam999, NairobiWalker, hbuyosh, msemakweli, simplemind, Kimweri, Bulldog, MK254, Kafrican,Ngongo, Ab_Titchaz, mtanganyika mpya, JokaKuu, Ngongo, Askari Kanzu, Dhuks, Yule-Msee, waltham, Mzee, mombasite gabriel, Juakali1980, Boda254, mwaswast, MwendaOmo, Iconoclastes, oneflash, Kambalanick, 1 Africa, saadeque, burukenge, nyangau mkenya, Teen-Upperhill Nairobi, kadoda11

Geza Ulole,
Hope the Kenyans can now see the good reason why at this very moment Tanzania opted to stay out of this kind of EPA/EAC agreement until a better deal/proposal is put on the table.
 
awapi kwa zile siasa zao za kikabila hawawezi ona! Watakwambia wao wanaweza shindana na bidhaa za EU! Ilhali wanakufa na njaa hawajaweza jitosheleza hata na chakula!

nomasana, sam999, NairobiWalker, hbuyosh, msemakweli, simplemind, Kimweri, Bulldog, MK254, Kafrican, Ngongo, Ab_Titchaz, mtanganyika mpya, JokaKuu, Ngongo, Askari Kanzu, Dhuks, Yule-Msee, waltham, Mzee, mombasite gabriel, Juakali1980, Boda254, mwaswast, MwendaOmo
, Iconoclastes, oneflash, Kambalanick, 1 Africa, saadeque, burukenge, nyangau mkenya, Teen-Upperhill Nairobi, kadoda11
 
awapi kwa zile siasa zao za kikabila hawawezi ona! Watakwambia wao wanaweza shindana na bidhaa za EU!

Kweli kabisa maana wale walima maua tunawajua wanatoka ''pande ipi'', itakuwa vigumu sana tuokoe biashara yao ya maua labda angalau ''walima maua wa Kenya'' wangekuwa badala yake wana viwanda vya ''ku-unda'' matrekta bora ya kisasa ya kilimo ya bei nafuu tungeweza kuwafikiria maana tungepata faida ktk kilimo chetu kikubwa cha chakula Tanzania na kuilisha Kenya na nchi zingine jirani.
 
Ni kwa sababu Viongozi wa TanZania wanajali TanZania na wanaipenda ila viongozi wa Kenya, Uganda &Co. hawazipendi nchi zao na ndio maana wanatumiwa na Wafanyabiashara ambao hata hivyo siyo Wakenya, kinachoisukuma Kenya hapa kwenye EPA ni hiyo biashara ya maua lkn labda usichokifahamu ni kwamba biashara ya maua Kenya siyo ya Mkenya bali inamilikiwa na Wazungu wa Uholanzi na hawa ndiyo wanaolobi ili waweze kufaidika na EPA kwa maana watauza maua tax free Ulaya lkn vipi kuhusu sekta nyingine za Kenya?

Vipi kuhusu mfugaji Kuku wa mayai ambaye anategemea kuuza Mayai yake Nakumat atashindana vipi na Mayai ktk EU ambayo ni full automated na isitoshe EU inatoa farm subsidies kwa wakulima wao? Vipi maziwa industry itashindana vp na ya EU, kuhusu textile industry ambayo Kenya wala haipo?
Sasa kama hata haijaanzishwa itawezaje kuanzishwa kama tayari textile zinakuja tax free ktk EU, vipi khs dairy products? Kenya inaweza vp kushindana na Dairy products ktk Denmark nchi inayoongoza Duniani kwenye hii industry?
Na hii ni karibia kila kitu, kuanzia cement ya Eu mpaka mafuta ya kujipaka!

Tatizo kubwa la Kenya inaongozwa na malobbyst ambao ni wabinafsi na hawana interest na maisha ya Mkenya wa kawaida na hawa ndiyo wanaowatumia wanasiasa kufanya maamuzi!
Do you know how many Kenyans get employed buy the flower firms
 
Mkubwa,
Hata kama kuna ajira zaidi ya 600,000 ktk sekta ya Kilimo cha Maua lakini ''The theory of comparative advantage'' haisemi kuwa watu wafe njaa kwa ajili ya maua labda ingekuwa ni kilimo cha nafaka za chakula hapo tungekubali mmefanya uamuzi wa busara (Kulilia EPA/EAC agreement) kulima mazao ya chakula na ku-export UE/EAC kumbuka Kenya kuna upungufu wa chakula na kilimo duni cha mazao ya chakula..
 
Do you know how many Kenyans get employed buy the flower firms
employed at poor paying jobs! BTW there is a possible solution for Kenya – to apply for the EU’s Generalised System of Preferences Plus scheme (GSP+). Under this, almost all of Kenya’s current exports could enter EU duty-free including flowers and fish.
 
Mkubwa,
Hata kama kuna ajira zaidi ya 600,000 ktk sekta ya Kilimo cha Maua lakini ''The theory of comparative advantage'' haisemi kuwa watu wafe njaa kwa ajili ya maua labda ingekuwa kilimo cha nafaka za chakula hapo tungekubali mmefanya uamuzi wa busara kulima mazao ya chakula kumbuka Kenya kuna upungufu wa chakula na kilimo duni cha mazao ya chakula..
Inaitwa kupiga hesabu... You export flowers worth 100billion and import Maize worth 100billion. . That's why Kenya will always be ahead of Tz.
 
Hesabu hazijakubali maana mlitaka kuwaburuza wana-EAC ktk biashara yenu ya maua kupitia EPA/EAC agreement, ilibidi hizo hesabu zijumuishe ''factors'' zingine zilizo nje ya uwezo wenu na kuziangalia je factors hizo ni ''zembe'' au ''zinajitambua''
 
n u get only €500,000 per year! what a loser nation! BTW Kenya imports $6.6 mln worth of maize per month!
 
Kama nyinyi Kenya Mnaona hiyo Mikataba ni mizuri basi msaini, Waziri wenu huyo mwanamama amekasirika sana Tanzania iivyokataa na amesema " Kenya itasonga mbele yenyewe". Sisi tumechoka kuisaini maana haina faida kwetu wala tija. Sisi Tanzania tumeamua tuwe wenyewe, kwa dona au mbaazi tutakula, tutaishi, tutafika, tutawapita nyinyi na mwisho tutabaki kuwa sisi Tanzania(bila mzungu).
 
Back
Top Bottom