Asitudanganye maendeleo tuna yaonaNadhani huwajui vizuri Wafanyakazi wa Serikali.
.Asitudanganye maendeleo tuna yaona
Kitu hajui ni kwamba kuna watumishi wameongezewa mshahara kimya kimya.
Linapokuja suala la watumishi wa umma, siri ya mtungi aijue kata. Na pia haiwezekani mtu ulie njaa ya mtu mwingine wakati mwenyewe hajalia.
Kumpa kura Magufuli October 28 ni matumizi mabaya ya akili.Pamoja na kwamba wafanyakazi wote nchi hii walioajiriwa serikalini hawafiki millioni moja,
Lakini ni ukweli usiopingika kuwa Kila ukoo, au pengine Kila familia kuna mfanyakazi, Ama tuseme Kila mtu Ana ndugu yake aliyeajiriwa serikalini!
Awamu hii pengine ndio ambayo maisha ya wafanyakazi yamekuwa hivi yalivyo. Ni mwaka wa 6 huu walioajiriwa 2014 hawajapanda madaraja...
Ni mwaka wa 5 huu hakuna hata Ile nyongeza ya kawaida ya mwaka...
Bila Shaka hakuna mtu asiyejua hii na pengine mioyo ya wafanyakazi ingekuwa kioo. Kuna watu wasingetembea "kifua mbele"
Narudia kusema Kuna points tatu hapa za bure zinasubiri..
Mbona kodi kny mishahara imepungua kuanzia mwezi uliopitaAsitudanganye maendeleo tuna yaona
Kitu hajui ni kwamba kuna watumishi wameongezewa mshahara kimya kimya
Hakuna Mtumishi wa Umma wa Nchi hii mwenye akili timamu kichwani anaweza kupanga foleni siku ya uchaguzi na kumpigia kura Magufuli.
Kwa lipi hasa alilowafanyia Wafanyakazi wa Nchi hii tangu alipoingia madarakani mwaka 2015? Bora nimchague Hashimu Rungwe maana ahadi zake zinaeleweka, ila siyo Magufuli.
Wa kada ipi mkuu?Kitu hajui ni kwamba kuna watumishi wameongezewa mshahara kimya kimya
Kuna bro wangu yuko sector fulani waliongezewa. Nadhani waliangalia zile sector muhimu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unaamini hii Serikali inayopenda kujisifu kila kukicha iongeze mishahara kimya kimya!? Inaficha nini hata waamue iwe siri? [emoji15]
Hilo sitatajaWa kada ipi mkuu?
Sihusiki na kitengo cha mshahara serikalini, hivyo sina majibu kwa maswali yakoKwanini iwe kimya kimya... Na kwanini iwe "baadhi" kwani sheria inasemaje
Hilo sitataja