Hili la wafanyakazi tu likitumika vizuri yeyote anaweza kuvuna points tatu

Unapoongelea wafanyakazi inakupasa uweke mkazo ni wafanyakazi wepi watampa kura huyu bwana lopolopo(aka Lomolomo),,kuna wale wazembe,wavivu,wala rushwa,hawa lazima wampigie kura huyu bwana wenu,lakini wafanyakazi wapenda maendeleo,amani ,kujituma ,haki sawa nk lazima JPM apate kura zao,na hawa ndo wengi sana

Lissu hafai hata kwa bure,anapaswa kupingwa na kila mtanzania mpenda maendeleo na amani
Wampe kwa lipinkubwa alilowafanyia? Unajua lengo kuu la MTU kuomba kazi popote? Kaka huji nikujuze 1. Maslahi, 2. Maslahi 3. Maslahi nk. Hayo mengine sijui nini hakuna. Sasa wakikosa hicho lazima wafanya kitu. Bahati Nzuri wafanyakazi wote hata akiwa stv vii, huwa na ELIMU ya kutosha kuamua vizuri.
 
Mkuu mbona hata mimi ni mfanyakazi wa government ,hayo yote ulitaka jpm kayatimiza

Kuweka mambo sawa,hakuna nchi iwayo duniani watumishi wamewahi kutosheka na mishahara
 
Pamoja na kwamba wafanyakazi wote nchi hii walioajiriwa serikalini hawafiki millioni moja,

Lakini ni ukweli usiopingika kuwa Kila ukoo, au pengine Kila familia kuna mfanyakazi, Ama tuseme Kila mtu Ana ndugu yake aliyeajiriwa serikalini!

Awamu hii pengine ndio ambayo maisha ya wafanyakazi yamekuwa hivi yalivyo. Ni mwaka wa 6 huu walioajiriwa 2014 hawajapanda madaraja...

Ni mwaka wa 5 huu hakuna hata Ile nyongeza ya kawaida ya mwaka...

Bila Shaka hakuna mtu asiyejua hii na pengine mioyo ya wafanyakazi ingekuwa kioo. Kuna watu wasingetembea "kifua mbele"

Narudia kusema Kuna points tatu hapa za bure zinasubiri..
Kuna matstizo kadhaa.

1. Watu hawafikiri kimkakati. Yani hata wakielewa tatizo, imani yao kwamba kura ya mtu mmoja mmoja inaweza kubadili uongozi na kubadikisha maisha ni ndogo sana. Wanaona uongozi wa sasa unesinikwa kama na nguvu za asili. Kuubadilisha ni kama kusimamisha jua lisichomoze.

2. Watu wengi hawajali. Wameshazoea maisha ya "hewala, hewala. Mungu atalipa".

3. Watu wengi wana ujinga unaotokana na ubinafsi. Mtu anaweza kuwa na mjomba mtumishi wa umma halafu yeye hana kazi. Ukimuambia matatizo ya mjomba kutopandishwa daraja ataona kama unamtania. Yeyr hana kazi kabisa. Na huyo unaweza kukuta ni shabiki wa Magufuli. Haoni kwamba serikali ya Magufuli imeshindwa kumaliza tatizo la ajira, yeye anafurahia Magufuli anavyotumbua watu na kuwafanya wakose ajira kama yeye. Anafurahia kuona malaika wanaenda kuishi kama sherani. Hajiylizi lini yeye ataishi kama malaika. Kuna watu wengi sana masikini hohehahe wanaishabikia sana CCM na Magufuli. Nikitaka kuwaelewa ni kazi ngumu sana inayoweza kuchukua thesis ya Ph.D ya saikolojia kuimaliza.

4. Kuna watu wengi sana wanaopenda kiongozi awe mbabe, mtu wa kuminyaminya watu. Wanaona bila hivyo nchi haiendi. Wanaona hao watumishi wa ymma ni wavivu tu wanakula mshahara bila kufanya kazi. Wanaina Magufuli anafanya vizuri sana kuwazibia kuoanda nadaraja. Kuwatia adabu. Wanasema Magufuli anarudisha nidhamu ya kazi serikalini. Yani point yako ya kuonesha ubaya wa Magufuli na serikali ya CCM, kwao ni point ya kuonesha uzuri wa Magufuli.

5. Kuna watu washajikubalia CCM hata ikishindwa itaiba kura na kutumia tume yake ya uchaguzi isiyo hurukuendelea kutawala. Hivyo kuipinga kwa kura ni jambo lisilo na tija.
 
Mkuu mbona hata mimi ni mfanyakazi wa government ,hayo yote ulitaka jpm kayatimiza

Kuweka mambo sawa,hakuna nchi iwayo duniani watumishi wamewahi kutosheka na mishahara
Mh, labda utakuwa yule mchoma mahindi
 
Pamoja na kwamba wafanyakazi wote nchi hii walioajiriwa serikalini hawafiki millioni moja,

Lakini ni ukweli usiopingika kuwa Kila ukoo, au pengine Kila familia kuna mfanyakazi, Ama tuseme Kila mtu Ana ndugu yake aliyeajiriwa serikalini!

Awamu hii pengine ndio ambayo maisha ya wafanyakazi yamekuwa hivi yalivyo. Ni mwaka wa 6 huu walioajiriwa 2014 hawajapanda madaraja...

Ni mwaka wa 5 huu hakuna hata Ile nyongeza ya kawaida ya mwaka...

Bila Shaka hakuna mtu asiyejua hii na pengine mioyo ya wafanyakazi ingekuwa kioo. Kuna watu wasingetembea "kifua mbele"

Narudia kusema Kuna points tatu hapa za bure zinasubiri..
Kama Rais Kikwete muliyemuita dhaifu kipindi cha uchaguzi aliwaambia wafanyakazi kama ni kura zao basi hazitaki na alishinda. Sembuse Jembe Magufuli?
 
Pamoja na kwamba wafanyakazi wote nchi hii walioajiriwa serikalini hawafiki millioni moja,

Lakini ni ukweli usiopingika kuwa Kila ukoo, au pengine Kila familia kuna mfanyakazi, Ama tuseme Kila mtu Ana ndugu yake aliyeajiriwa serikalini!

Awamu hii pengine ndio ambayo maisha ya wafanyakazi yamekuwa hivi yalivyo. Ni mwaka wa 6 huu walioajiriwa 2014 hawajapanda madaraja...

Ni mwaka wa 5 huu hakuna hata Ile nyongeza ya kawaida ya mwaka...

Bila Shaka hakuna mtu asiyejua hii na pengine mioyo ya wafanyakazi ingekuwa kioo. Kuna watu wasingetembea "kifua mbele"

Narudia kusema Kuna points tatu hapa za bure zinasubiri..
hawjitambui hao usipate nao shida
 
Back
Top Bottom