Wafanyakazi ni wa serikali ni wajinga na wapumbavu,usitegemee wafanye maamuzi sahihi
Kuna bro wangu yuko sector fulani waliongezewa. Nadhani waliangalia zile sector muhimu.
Kiukweli nimewaelewa sana chadema kuhusu fao la kujitoa,nyongeza ya mishahara ,vat 10% ,bodi ya mikopo 3% ,matibabu kwanza fedha baadae,elimu bura hadi form ive etc point 3 njia nyeupe ikulu cha msingi waweke mikakati ya kufafanua jinsi ya kutekeleza maana naona mataga washaanza kupinga kwamba haiwezekani.Pamoja na kwamba wafanyakazi wote nchi hii walioajiriwa serikalini hawafiki millioni moja,
Lakini ni ukweli usiopingika kuwa Kila ukoo, au pengine Kila familia kuna mfanyakazi, Ama tuseme Kila mtu Ana ndugu yake aliyeajiriwa serikalini!
Awamu hii pengine ndio ambayo maisha ya wafanyakazi yamekuwa hivi yalivyo. Ni mwaka wa 6 huu walioajiriwa 2014 hawajapanda madaraja...
Ni mwaka wa 5 huu hakuna hata Ile nyongeza ya kawaida ya mwaka...
Bila Shaka hakuna mtu asiyejua hii na pengine mioyo ya wafanyakazi ingekuwa kioo. Kuna watu wasingetembea "kifua mbele"
Narudia kusema Kuna points tatu hapa za bure zinasubiri..
Najua na labda tu hukunipata vizuri nilichoandika.Kitu hajui ni kwamba kuna watumishi wameongezewa mshahara kimya kimya
Mkuu usigeneralize pls!...mm mtumishi serikalini ,,ila sipo na MAGUFULI ,,natembea kifua MBELE na Lissu,, SABABU Magufuli pia hayupo na mimi yupo na Madege na ,, MFUGALE,, standard gauge,,wanangu wanahitaji kuvaa na kula,, Amedhulumu stahiki yangu kwa Miaka 5, sidanganyjki kwa kulunguza kodi,,28 October ,,nitaweka Vema kwa Ant. Pasti Lissu,,Wafanyakazi ni wa serikali ni wajinga na wapumbavu,usitegemee wafanye maamuzi sahihi
aiseh! Nimerud kuangalia user name yako nkajua ni mtu fulan yeye Hashimu Rungwe huwa ndo anamchaguaHakuna Mtumishi wa Umma wa Nchi hii mwenye akili timamu kichwani anaweza kupanga foleni siku ya uchaguzi na kumpigia kura Magufuli.
Kwa lipi hasa alilowafanyia Wafanyakazi wa Nchi hii tangu alipoingia madarakani mwaka 2015? Bora nimchague Hashimu Rungwe maana ahadi zake zinaeleweka, ila siyo Magufuli.
Mbunge bwege tu ndo alitetea watumishiPamoja na kwamba wafanyakazi wote nchi hii walioajiriwa serikalini hawafiki millioni moja,
Lakini ni ukweli usiopingika kuwa Kila ukoo, au pengine Kila familia kuna mfanyakazi, Ama tuseme Kila mtu Ana ndugu yake aliyeajiriwa serikalini!
Awamu hii pengine ndio ambayo maisha ya wafanyakazi yamekuwa hivi yalivyo. Ni mwaka wa 6 huu walioajiriwa 2014 hawajapanda madaraja...
Ni mwaka wa 5 huu hakuna hata Ile nyongeza ya kawaida ya mwaka...
Bila Shaka hakuna mtu asiyejua hii na pengine mioyo ya wafanyakazi ingekuwa kioo. Kuna watu wasingetembea "kifua mbele"
Narudia kusema Kuna points tatu hapa za bure zinasubiri..
Kitu hajui ni kwamba kuna watumishi wameongezewa mshahara kimya kimya
Keki ya kinyesi yenye sijui "icing sugar" kwa juu.Ukiikata utajua haifai.Mbona kodi kny mishahara imepungua kuanzia mwezi uliopita
Hili tayari limeshafanyiwa kaziPamoja na kwamba wafanyakazi wote nchi hii walioajiriwa serikalini hawafiki millioni moja,
Lakini ni ukweli usiopingika kuwa Kila ukoo, au pengine Kila familia kuna mfanyakazi, Ama tuseme Kila mtu Ana ndugu yake aliyeajiriwa serikalini!
Awamu hii pengine ndio ambayo maisha ya wafanyakazi yamekuwa hivi yalivyo. Ni mwaka wa 6 huu walioajiriwa 2014 hawajapanda madaraja...
Ni mwaka wa 5 huu hakuna hata Ile nyongeza ya kawaida ya mwaka...
Bila Shaka hakuna mtu asiyejua hii na pengine mioyo ya wafanyakazi ingekuwa kioo. Kuna watu wasingetembea "kifua mbele"
Narudia kusema Kuna points tatu hapa za bure zinasubiri..
Hiyo ni kitambo sio dakika za mwisho.Kwa nini iwe kimya kimya. Kinafichwa kitu gani? Yaani dakika za mwisho ndo wanakumbukwa.
Unadhani uchumi wa kati umekuja vipi kama sio hao wakulima na wafanyakazi kupiga kazi?Hawa wanaodai waongezwe mishahara na wao wajitathmini wameongeza nini kwenye ajira zao? Wanachelewa kazini, hawana ubunifu wowote, watoro kazini kila siku wanaumwa alafu wanalilia mishahara inayotokana na kodi. Ninachoomba kupandisha mishahara isiwe automatic ila kwa wale wanaostahili tu. Serikali inaweza kuajiri watu milioni ishirini lakini katika kipindi cha miaka miwili watupeleke kwenye uchumi wa dunia ya kwanza hapo mtaongezwa mshahara hata milioni kima cha chini. Mfano serikali inataka kujenga vinu vya nyuklia jee wasomi mpo tayari au bado mpo kwenye chipsi dume?
Hawa wanaodai waongezwe mishahara na wao wajitathmini wameongeza nini kwenye ajira zao? Wanachelewa kazini, hawana ubunifu wowote, watoro kazini kila siku wanaumwa alafu wanalilia mishahara inayotokana na kodi. Ninachoomba kupandisha mishahara isiwe automatic ila kwa wale wanaostahili tu. Serikali inaweza kuajiri watu milioni ishirini lakini katika kipindi cha miaka miwili watupeleke kwenye uchumi wa dunia ya kwanza hapo mtaongezwa mshahara hata milioni kima cha chini. Mfano serikali inataka kujenga vinu vya nyuklia jee wasomi mpo tayari au bado mpo kwenye chipsi dume?
... na ndio wanaosimamia kupiga na kuhesabu kura 🏃♂️🏃♂️🏃♂️... Ni mwaka wa 6 huu walioajiriwa 2014 hawajapanda madaraja... Ni mwaka wa 5 huu hakuna hata Ile nyongeza ya kawaida ya mwaka...
Kuna sehemu kwenye Uzi wangu nimemtaja Lisu?Unapoongelea wafanyakazi inakupasa uweke mkazo ni wafanyakazi wepi watampa kura huyu bwana lopolopo(aka Lomolomo),,kuna wale wazembe,wavivu,wala rushwa,hawa lazima wampigie kura huyu bwana wenu,lakini wafanyakazi wapenda maendeleo,amani ,kujituma ,haki sawa nk lazima JPM apate kura zao,na hawa ndo wengi sana
Lissu hafai hata kwa bure,anapaswa kupingwa na kila mtanzania mpenda maendeleo na amani
onKila sekta ina umuhimu wake kwa Taifa na ndiyo sababu ya kuwepo na kuwa na waajiriwa vinginevyo ingefutiliwa mbali ili kuokoa pesa. Na hili la kuongeza mishahara kimya kimya halikutokea kwenye awamu zilizopita kwanini liruhusiwe awamu hii?
Usikute hao wanaoongezewa ama ni wa kabila fulani au wana ukaribu fulani na mnene mwenye kuweza kufikisha ujumbe ili aongozewe mshahara huku akiambiwa asitie neno kwamba mshahara wake umeongezwa.
Ubaguzi kama huu wa kuongeza mishahara kwa siri Serikalini kama kweli upo basi tuupige vita kwa nguvu zote.