Bombabomba
JF-Expert Member
- Dec 23, 2017
- 1,886
- 2,231
Wampe kwa lipinkubwa alilowafanyia? Unajua lengo kuu la MTU kuomba kazi popote? Kaka huji nikujuze 1. Maslahi, 2. Maslahi 3. Maslahi nk. Hayo mengine sijui nini hakuna. Sasa wakikosa hicho lazima wafanya kitu. Bahati Nzuri wafanyakazi wote hata akiwa stv vii, huwa na ELIMU ya kutosha kuamua vizuri.Unapoongelea wafanyakazi inakupasa uweke mkazo ni wafanyakazi wepi watampa kura huyu bwana lopolopo(aka Lomolomo),,kuna wale wazembe,wavivu,wala rushwa,hawa lazima wampigie kura huyu bwana wenu,lakini wafanyakazi wapenda maendeleo,amani ,kujituma ,haki sawa nk lazima JPM apate kura zao,na hawa ndo wengi sana
Lissu hafai hata kwa bure,anapaswa kupingwa na kila mtanzania mpenda maendeleo na amani
Mkuu mbona hata mimi ni mfanyakazi wa government ,hayo yote ulitaka jpm kayatimizaWampe kwa lipinkubwa alilowafanyia? Unajua lengo kuu la MTU kuomba kazi popote? Kaka huji nikujuze 1. Maslahi, 2. Maslahi 3. Maslahi nk. Hayo mengine sijui nini hakuna. Sasa wakikosa hicho lazima wafanya kitu. Bahati Nzuri wafanyakazi wote hata akiwa stv vii, huwa na ELIMU ya kutosha kuamua vizuri.
Kuna matstizo kadhaa.Pamoja na kwamba wafanyakazi wote nchi hii walioajiriwa serikalini hawafiki millioni moja,
Lakini ni ukweli usiopingika kuwa Kila ukoo, au pengine Kila familia kuna mfanyakazi, Ama tuseme Kila mtu Ana ndugu yake aliyeajiriwa serikalini!
Awamu hii pengine ndio ambayo maisha ya wafanyakazi yamekuwa hivi yalivyo. Ni mwaka wa 6 huu walioajiriwa 2014 hawajapanda madaraja...
Ni mwaka wa 5 huu hakuna hata Ile nyongeza ya kawaida ya mwaka...
Bila Shaka hakuna mtu asiyejua hii na pengine mioyo ya wafanyakazi ingekuwa kioo. Kuna watu wasingetembea "kifua mbele"
Narudia kusema Kuna points tatu hapa za bure zinasubiri..
Kama Rais Kikwete muliyemuita dhaifu kipindi cha uchaguzi aliwaambia wafanyakazi kama ni kura zao basi hazitaki na alishinda. Sembuse Jembe Magufuli?Pamoja na kwamba wafanyakazi wote nchi hii walioajiriwa serikalini hawafiki millioni moja,
Lakini ni ukweli usiopingika kuwa Kila ukoo, au pengine Kila familia kuna mfanyakazi, Ama tuseme Kila mtu Ana ndugu yake aliyeajiriwa serikalini!
Awamu hii pengine ndio ambayo maisha ya wafanyakazi yamekuwa hivi yalivyo. Ni mwaka wa 6 huu walioajiriwa 2014 hawajapanda madaraja...
Ni mwaka wa 5 huu hakuna hata Ile nyongeza ya kawaida ya mwaka...
Bila Shaka hakuna mtu asiyejua hii na pengine mioyo ya wafanyakazi ingekuwa kioo. Kuna watu wasingetembea "kifua mbele"
Narudia kusema Kuna points tatu hapa za bure zinasubiri..
hawjitambui hao usipate nao shidaPamoja na kwamba wafanyakazi wote nchi hii walioajiriwa serikalini hawafiki millioni moja,