Think2
JF-Expert Member
- Jan 3, 2025
- 3,087
- 6,024
Hili la kuvaa sare wanafunzi wa diploma kozi za afya linashusha hadhi ya wanachuo huwezi kujiita mwanachuo huku unavaa masare kama sekondari
Mbaya zaidi kuna vyuo vinaagiza wanafunzi waje na majembe na mafyekeo nashindwa kuelewa hivyo ni vyuo au sekondari zilizochangamka?
Mbaya zaidi kuna vyuo vinaagiza wanafunzi waje na majembe na mafyekeo nashindwa kuelewa hivyo ni vyuo au sekondari zilizochangamka?