Hili la wanawake kwenda salon za kunyolewa nywele za sehemu za siri (Waxing) limekaaje?

Nyuzi zingine zipo kwajili ya kutiana genye tu .... sasa kama kuna kusuguana harage what next
 
Aisee na inipite tu siwezi fanya huo ujinga au ndo Sina ela yaani nikanyanyue miguu ninyolewe na mwanamke mwenzangu [emoji16]labda nipo mahututi
 
Aisee na inipite tu siwezi fanya huo ujinga au ndo Sina ela yaani nikanyanyue miguu ninyolewe na mwanamke mwenzangu [emoji16]labda nipo mahututi

Hahahaa
 
Kuna jamaa insta yupo Dar anafanya kazi hiyo ya kunyoa wadada wa mujini papuchi, ila msela anaonekana rinda nehi nehi(kwa kihindi)
Ndo Kesha au hata mimi naona yule hakuna rinda
 
Nasoma comments ili Nijue Saloon zipo wapi naona kimya tuu! Huu uzi sijui vp?
 
Ugonjwa wangu huu napenda sana ke awe na hizo halafu mwingine anazitoa[emoji87]
Wewe unapenda uzione mkiwa faragha lakini sio barabarani au beach mdada kavaa crop top na nywele tumboni si ndiyo?
 
Shoo unapiga topazz??
Ngozi ina hali gani?..


Hawanyoi kule
Wanabandua nywele
Ungeijua waxing inavyouma usingewaza upuuz wowote

Massage ndo zina upuuzi km unataka ila sio waxing..never..cz sio zoezi la starehe lile
 
Unapotosha umma jmn dada

Waxing yenyewe hujawahi fanya
Ebu tueleze inakuwajehivi wanapaka hiyo hot wax hati kwenye zile shavunza mbususu...sii akivuta anaweza ondoka nazo🀣🀣🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…