Hili la wanawake kwenda salon za kunyolewa nywele za sehemu za siri (Waxing) limekaaje?

Hili la wanawake kwenda salon za kunyolewa nywele za sehemu za siri (Waxing) limekaaje?

Nyuzi zingine zipo kwajili ya kutiana genye tu .... sasa kama kuna kusuguana harage what next
 
Una ushaihidi? Au ulisikia wanasema zipo
IMG_20220321_104840.png
hizo hapo mpeleke akapendezeshwe😁😁
 
Aisee na inipite tu siwezi fanya huo ujinga au ndo Sina ela yaani nikanyanyue miguu ninyolewe na mwanamke mwenzangu [emoji16]labda nipo mahututi

Hahahaa
 
Nasoma comments ili Nijue Saloon zipo wapi naona kimya tuu! Huu uzi sijui vp?
 
Ugonjwa wangu huu napenda sana ke awe na hizo halafu mwingine anazitoa[emoji87]
Wewe unapenda uzione mkiwa faragha lakini sio barabarani au beach mdada kavaa crop top na nywele tumboni si ndiyo?
 
Shoo unapiga topazz??
Ngozi ina hali gani?..


Hawanyoi kule
Wanabandua nywele
Ungeijua waxing inavyouma usingewaza upuuz wowote

Massage ndo zina upuuzi km unataka ila sio waxing..never..cz sio zoezi la starehe lile
 
Back
Top Bottom