smaki
JF-Expert Member
- Jan 23, 2019
- 4,976
- 3,098
kuhudumia tu kwenyewe kwanza! ni starehe ya muhudumiaji! inabidi yeye muhudumiaji ailipie!!Hayachezewi bali yana hudumiwa kwa kupendezeshwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kuhudumia tu kwenyewe kwanza! ni starehe ya muhudumiaji! inabidi yeye muhudumiaji ailipie!!Hayachezewi bali yana hudumiwa kwa kupendezeshwa
Bomu kubwa sana...Sijui ni ushamba wangu au ni nini ila mimi binafsi nawaza mtu mzima mwenye miaka ya kutosha ati kila nywele zikikuota unaenda kuchanua makwapa na kipochimanyoya saloon; ati unyolewe na mtu mzima mwenzio, mwanamke au mwanaume kwa malipo!
Tena unayolewa kwa kusuguliwa haswaaaa. Hili jambo linachukuliwa kikawaida ila linanistaajabisha na lina ukakasi sana maana huku ndiko tunakoenda kuzalisha mambo mengine ya kishetwani ambayo tutakuja kuyajutia
Najua haya ni mapenzi ya watu na pia ni kazi za watu lakini athari zake ni zipi kijamii? Tulianza na kusuguliwa miguu, tukaenda kwenye massages za kawaida, tukaingia kwenye full body massage sasa tunanyoana kwa kusuguana haswaaa wenyewe tumeipa jina la kizungu waxing.
Sijui kama wana vibali hawa watoa huduma, sijui kama wanatakiwa kuwa na vigezo gani ili waweze kufanya hizi kazi, sijui kama serikali imepima faida na hasara ya hizi biashara na inanufaika vipi nazo.
Kusema ukweli tunatengeneza bomu.
Mh...umeshajaribu.Ila wax ya kwenye papuchi na kwapa inauma jamani. Bora ya bikini line au vinyweleo.
Ni kusuguana...Hata iwe hivyo, akizidiwa wakati anasuguliwa kitakachofuata sijui mimi huko ..
Hongera..Mmechelewa kujua Mkuu ni kitu kinafanyika muda mrefu
Binafsi mwaka wa tano huu nafanya wax na hakuna athari zozote
Alipie tena? Kwanza hao watoa huduma ni wakike sasa waanzaje kuona burudani kusafisha viungo vya wanawake wenzao?kuhudumia tu kwenyewe kwanza! ni starehe ya muhudumiaji! inabidi yeye muhudumiaji ailipie!!
Ulishapigiwa sana demu! Pole sana ulikuwa fala sana etiNshapigiwa sana demu wangu alikuwa ananyolewa The fuziz na Ex wake usipime, nilitulia baada ya kulipa kisasi usiombe ulaibu uo.
Ha ha ha kwa mke/mama watoto wangu hapana kabisa, huwa tunasaidiana; ila kwa viburudisho (michepuko) inabidi waje wakiwa vipara kabisa ili kunogesha uwepo wao.Kaka kwani wifi nae anaendaga salon kung'olewa nywele za kwapa na kipochimanyoya na kusuguliwa; au unamng'oa na kumsugua mwenyewe☺☺☺
🤣🤣Ha ha ha kwa mke/mama watoto wangu hapana kabisa, huwa tunasaidiana; ila kwa viburudisho (michepuko) inabidi waje wakiwa vipara kabisa ili kunogesha uwepo wao.
Una ushaihidi? Au ulisikia wanasema zipoSaluni zipo wanyoaji wapo tena wanaongezeka kila kuchwao
Sasa Wewe umejuaje wanasuguliwa haswa'?Sijui ni ushamba wangu au ni nini ila mimi binafsi nawaza mtu mzima mwenye miaka ya kutosha ati kila nywele zikikuota unaenda kuchanua makwapa na kipochimanyoya saloon; ati unyolewe na mtu mzima mwenzio, mwanamke au mwanaume kwa malipo!
Tena unayolewa kwa kusuguliwa haswaaaa. Hili jambo linachukuliwa kikawaida ila linanistaajabisha na lina ukakasi sana maana huku ndiko tunakoenda kuzalisha mambo mengine ya kishetwani ambayo tutakuja kuyajutia
Najua haya ni mapenzi ya watu na pia ni kazi za watu lakini athari zake ni zipi kijamii? Tulianza na kusuguliwa miguu, tukaenda kwenye massages za kawaida, tukaingia kwenye full body massage sasa tunanyoana kwa kusuguana haswaaa wenyewe tumeipa jina la kizungu waxing.
Sijui kama wana vibali hawa watoa huduma, sijui kama wanatakiwa kuwa na vigezo gani ili waweze kufanya hizi kazi, sijui kama serikali imepima faida na hasara ya hizi biashara na inanufaika vipi nazo.
Kusema ukweli tunatengeneza bomu.
Na mimi limenishangaza hilo eti kila wiki unaenda kusuguliwa kiharageSijui ni ushamba wangu au ni nini ila mimi binafsi nawaza mtu mzima mwenye miaka ya kutosha ati kila nywele zikikuota unaenda kuchanua makwapa na kipochimanyoya saloon; ati unyolewe na mtu mzima mwenzio, mwanamke au mwanaume kwa malipo!
Tena unayolewa kwa kusuguliwa haswaaaa. Hili jambo linachukuliwa kikawaida ila linanistaajabisha na lina ukakasi sana maana huku ndiko tunakoenda kuzalisha mambo mengine ya kishetwani ambayo tutakuja kuyajutia
Najua haya ni mapenzi ya watu na pia ni kazi za watu lakini athari zake ni zipi kijamii? Tulianza na kusuguliwa miguu, tukaenda kwenye massages za kawaida, tukaingia kwenye full body massage sasa tunanyoana kwa kusuguana haswaaa wenyewe tumeipa jina la kizungu waxing.
Sijui kama wana vibali hawa watoa huduma, sijui kama wanatakiwa kuwa na vigezo gani ili waweze kufanya hizi kazi, sijui kama serikali imepima faida na hasara ya hizi biashara na inanufaika vipi nazo.
Kusema ukweli tunatengeneza bomu.
[emoji1787]Be free,so you are warmly welcome