Hili la wanawake kwenda salon za kunyolewa nywele za sehemu za siri (Waxing) limekaaje?

Hili la wanawake kwenda salon za kunyolewa nywele za sehemu za siri (Waxing) limekaaje?

anasuguliwaje sasa! tatizo mnaongelea kitu ambacho hamkijui.

anakupaka na kistick anachukua kitambaa anabandika anatoa nywele

anakusugua wapi hapo?
Yani acha tu

Kweli usilolijua ni usiku wa giza
 
Sasa bomu gani linatengenezwa hapo mkuu? Mbona mnapenda kuyafanya maisha yawe magumu sana aise?
Shangaa na wewe!
Hapo hapo anaenda Saluni kupakwa Rangi Kucha, anapakwa Make up, anafanyiwa Scrub hadi Massage ila anashangaa waxing,

Anadhani Waxing ni rahisi kujifanyia mwenyewe
 
Shoo unapiga topazz??
Ngozi ina hali gani?..

Hawanyoi kule
Wanabandua nywele
Ungeijua waxing inavyouma usingewaza upuuz wowote

Massage ndo zina upuuzi km unataka ila sio waxing..never..cz sio zoezi la starehe lile
Waambie hao,
Mie nina vifaa vyote ila siwezi kujifanyia kwa maumivu yale, naenda Saluni na hapo nikitoka nimekua mwekunduuuu [emoji31]

Waxing [emoji119]
 
Shangaa na wewe!
Hapo hapo anaenda Saluni kupakwa Rangi Kucha, anapakwa Make up, anafanyiwa Scrub hadi Massage ila anashangaa waxing,

Anadhani Waxing ni rahisi kujifanyia mwenyewe

Huwajui wabongo walivyo wanafki?? kushangaa kisa wao hawafanyi huku pembeni wanafanya machafu kuliko[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom