Hili la wolper na manaiki sanga mmh

i think

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2014
Posts
361
Reaction score
72
Hili ni jambo la kheri pale mwanaume anapoenda nyumbani kwa mwanamke ambaye anamini anafaa kuwa mke wake na kutoa posa.

Siingilii uamuzi wa MANAIK SANGA kutaka kufanya hvyo lakin je mwanajf jchukuliwe wewe ni mzazi au ndugu wa JACK WOLPER.

MANAIK SANGA ANAKASHFA KUBWA YA KUPGA PCHA CHAFU ZAIDI YA 100 TENA AKIWA NA WANAWAKE ZAID YA 50.

Kama ni ndugu wa WOLPER unaweza kumkabdh kijana kama huyu ambae ana mawazo ya kupata umaarufu kuptia utupu wa mabinti.

Au MANAIKI amesahau kuwa ana kashfa kubwa na angepaswa kunyamaza na kufanya kwa vitendo juu ya POSA.

MANAIKA amesema watz hatujui uzur wa wanawake wa kbongo yeye anajua uzur wa WOLPER na anaona ndiye mwanamke atakayemfaa.

Hivi kwa kauli hii inaunyesha anataka mke wa familia au mschana mrembo kama jack.

Anyway wanaume kauli uonyesha lengo letu mbeleni kauli za matamanio huweza kuwashka wanawake wasiojtambua.

Simsemi vbaya MANAIKI n moja ya mahard work wa nyuma ya kamera katka FILAMU ZA KIBONGO.
 
Jamani kwan we ni mgeni na swaga za manaiki sanga.
 
Acha wafu wazikane wenyewe.

Mpaka huyo jamaa awe anapiga picha na hao wanawake over and over again lazima kuna watu ambao hawaoni huo uchafu unaoongelea wewe. Na kama huyo anatakiwa kutolewa posa ni mmoja wapo, wewe ni nani hata useme jamaa hamfai?!
 
kume na huyu ni mme eti unapeleka kwenu nfano???
 
nyie wolpa atakubali anapenda sana kuolewa yule binti mjue bas tu hajapata muoaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…