Hili la yanga kukataa mpira kutangazwa redioni limekaaje?

mtungu

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2021
Posts
270
Reaction score
435
Nilikua mbali na tv nikasema ngoja nitumie simu kusikiliza mpira kupitia redio nawasha tbc hola kila nikijalibu nikajiuliza leo kunani kumbe wahuni wamewazuia mechi yao isitangazwe redioni ata na chombo Cha taifa.
 
[emoji196][emoji196][emoji196]
IMG-20221103-WA0502.jpg
 
Zitaponza vipi? Kwani tbc ni kitu gani?
Wanajiita television ya taifa huku wanatengeneza pesa?
Walichukua haki ya redio zingine kwa kutumia pesa ya walipakodi na hawataki kuilipa Yanga?
Nawapongeza sana Yanga kwa kazi nzuri.
Sawa shabiki
 
Acheni Watu Wale Mihogo Yao Iwakabe Kooni
 
Nabi aundoke haraka!
Na Hersi ajiuzulu haraka...
Ki Aziz, Kisinda na Morrison watolewe hata kwa mkopo waende Ihefu hawana msaada wowote kwenye timu yetu!
Manji arudi upesi!
 
Nilikua mbali na tv nikasema ngoja nitumie simu kusikiliza mpira kupitia redio nawasha tbc hola kila nikijalibu nikajiuliza leo kunani kumbe wahuni wamewazuia mechi yao isitangazwe redioni ata na chombo Cha taifa.
Wewe hizo ni biashara. Unatakiwa ununue haki kutangaza. Yaani atangaze bila kulipa halafu yeye TBC katikati ya matangazo ya mpira atangaze REVOLA etc huku akiwa amelipwa..!? ACHA UTOTO
 
Nilikua mbali na tv nikasema ngoja nitumie simu kusikiliza mpira kupitia redio nawasha tbc hola kila nikijalibu nikajiuliza leo kunani kumbe wahuni wamewazuia mechi yao isitangazwe redioni ata na chombo Cha taifa.
Basi mwenyewe unajiona mjaanja, kusikiliza TBC!
 
Nilikua mbali na tv nikasema ngoja nitumie simu kusikiliza mpira kupitia redio nawasha tbc hola kila nikijalibu nikajiuliza leo kunani kumbe wahuni wamewazuia mechi yao isitangazwe redioni ata na chombo Cha taifa.
U fm walitangaza ungetune huko
 
Back
Top Bottom