unajua Watanzania tulio wengi kama sio wote ikijumulisha na wewe na mimi tumekuwa confused. Utakataa au utakubali lakini haitabadidilisha hilo mkuu, wengi wetu ni dhaifu kama ilivyowekwa na Mh Myika siku moja Bungeni.Naomba tujadili sakata hili kati ya Yanga na Vodacom bila kuingiza unazi wowote, je ni halali kwa Yanga kukataa kuvaa jezi yenye logo ya mdhamini (Vodacom) ambayo ina rangi nyeupe na nyekundu kwa kisingizio kuwa ni rangi ya jezi inayovaliwa na watani zao Simba? na je nini mustakabali wa soka letu? maana utakuta timu kama Manchester United jezi zake ni nyekundu ila muda mwingine huvaa jezi za bluu zivaliwazo na timu kama Chelsea, Everton na nyinginezo,karibu tujadili bila unazi
N.B- ningetupia hii kwenye jukwaa la sports but naona nililete kisheria zaidi
unajua Watanzania tulio wengi kama sio wote ikijumulisha na wewe na mimi tumekuwa confused. Utakataa au utakubali lakini haitabadidilisha hilo mkuu, wengi wetu ni dhaifu kama ilivyowekwa na Mh Myika siku moja Bungeni.
Angalia wanaoendesha mpira wa Tanzania (hasa katika capital city) ni akina nani ...zaidi ya 96% ni watu ambao ni hopeless na upeo wa malengo yao ni mdogo mno. Mtu anaweza kuzuia jambo la maana lisifanyike just kwa ahadi ya sahani ya pilau na sod tu, aibu.
Kuna jamaa mmoja yuko Simba SS pia na huwa anaongea sana kwenye kipindi cha TV cha Sport Kizaazaa, jamaa ni mbishi na mwenye jazba sana lakini nilipokuja kushtuka ni pale nilipogundua kuwa ndiye katibu mwenezi wa ccm wa mkoa wa Dar es Salaa (nafasi ya Nape kitaifa). Na nadhani uliona hata julio alitaka kugombea nafasi nyingine ccm.
naeleza hayo yote hili angalau kutoa picha ya hali halisi ilivyo.
Katika mpira wa Tanzania ikichochewa na dar es Salaam, bila kujua fitina na unafiki huwezi kufanya lolote na huo ndio msingi wa viongozi wa Simba na Yanga. Lakini kama tunavyojua unafiki na fitina ndio msingi mkubwa wa umasikini wa mtu/jamii/jumuia/chama/timu/taifa lolote hapa duniani.
Hiyo hoja ya Vodacom ni muendelezo huo huo wa watu ambao ni hopeless na wasiowaza mbali zaidi ya matumbo yao. Tuliiga mambo ya mpira kutoka Ulaya lakini huko japo wana mambo yao ya rangi za jezi (identity) likija suala la biashara na pesa hawaangalii hilo, wanaangalia pesa na maendeleo.
Well stated mkuu lakini hili jambo yapaswa tuliangalie kwa mapana yake, maana linanikumbusha kitabu fulani nilichokisoma (nafikiri ni beautiful ones are not yet born) kilikuwa na ndege aitwaye chichidodo ndege huyu alikuwa ana chukia kinyesi lakini anapenda mafunza yanayotoka kwenye hicho kinyesi, so hili la Yanga huu ndo mfano wake kwasababu anachukua kila kitu kwa mdhamini halafu anakataa nembo yake kisa ni nyekundu na nyeupe, tatizo lingine ni uongozi wa TFF umejaa usimba na Uyanga, just imagine badala ya Rais wa TFF kushughulika na hili swala maana ni wao walioingia mkataba na Vodacom anasema kuwa Vodacom wakutane na Yanga kujadili swala hili.
Ni kweli Yanga sio party to the contract signed between Voda na TFF, lakini kwa kukubali kwao kushiriki ligi inayodhaminiwa na voda, tayari wanabanwa na kanuni za ligi hiyo. Labda kama suala ni uhalali (legitimacy) wa kanuni hizo za ligi! Kwa hiyo kama TFF wakitaka kuwa strict, Yanga atakuwa na option mbili tu, kuvaa nembo jezi yenye nembo ya mdhamini na kushiriki ligi husika au kujitoa/kutolewa kwenye ushiriki wa ligi hiyo. Nafahamu kumekuwepo na mazungumzo kati ya Yanga na mdhamini ili kuiruhusu Yanga kuvaa nembo lakini ikiwa na rangi ambayo sio nyekundu!Kisheria naamini Yanga wako sahihi... Yanga is not not part to the contract signed between TFF and Vodacom, therefore, the team, or any other Premier League team for that matter, is not bound to that contract.
Hapo uko sahihi, Yanga hawabanwi na sponsorship contract bali na kanuni za ligi which they have signed. But, do the kanuni za ligi zinalazimisha kuvaa jezi za voda?Ni kweli Yanga sio party to the contract signed between Voda na TFF, lakini kwa kukubali kwao kushiriki ligi inayodhaminiwa na voda, tayari wanabanwa na kanuni za ligi hiyo. Labda kama suala ni uhalali (legitimacy) wa kanuni hizo za ligi! Kwa hiyo kama TFF wakitaka kuwa strict, Yanga atakuwa na option mbili tu, kuvaa nembo jezi yenye nembo ya mdhamini na kushiriki ligi husika au kujitoa/kutolewa kwenye ushiriki wa ligi hiyo. Nafahamu kumekuwepo na mazungumzo kati ya Yanga na mdhamini ili kuiruhusu Yanga kuvaa nembo lakini ikiwa na rangi ambayo sio nyekundu!
Binafsi nadhani bado kuna tatizo kwa TFF na ushirikishwaji wa vilabu katika mikataba ya udhamini.
Kanuni zinawataka kuvaa jezi za mdhamini wa ligi. kwa hiyo kama Voda wameweka nembo yao kwenye hizo jezi, kikanuni yanga hana 'uwezo' wa kuzikataa. Na ndio maana umeona mwaka jana walilazimika kuzungumza na mdhamini - lakini hiyo bado inategemea hisani ya mdhamini tu!Hapo uko sahihi, Yanga hawabanwi na sponsorship contract bali na kanuni za ligi which they have signed. But, do the kanuni za ligi zinalazimisha kuvaa jezi za voda?
Jambo la pili ni la precedent... mwaka jama Voda waliwakubaliana na Yanga kuhusu rangi na wakawatengenezea nembo nyingine, why mwaka huu hawataki kufanya hivyo?
Wasi wasi wangu ni kuwa kanuni zimaweza kuzilazimisha timu kuvaa jezi za mdhamini, lakini je, kisheria, hiyo inazifanya timu ziwe bound kwa contract between TFF na VOda?Kanuni zinawataka kuvaa jezi za mdhamini wa ligi. kwa hiyo kama Voda wameweka nembo yao kwenye hizo jezi, kikanuni yanga hana 'uwezo' wa kuzikataa. Na ndio maana umeona mwaka jana walilazimika kuzungumza na mdhamini - lakini hiyo bado inategemea hisani ya mdhamini tu!
Timu inaongozwa na teja, wachawi, makomando na vigagula, yaani reasoning capacity yao iko finyu kuliko maelezo.Naomba tujadili sakata hili kati ya Yanga na Vodacom bila kuingiza unazi wowote, je ni halali kwa Yanga kukataa kuvaa jezi yenye logo ya mdhamini (Vodacom) ambayo ina rangi nyeupe na nyekundu kwa kisingizio kuwa ni rangi ya jezi inayovaliwa na watani zao Simba? na je nini mustakabali wa soka letu? maana utakuta timu kama Manchester United jezi zake ni nyekundu ila muda mwingine huvaa jezi za bluu zivaliwazo na timu kama Chelsea, Everton na nyinginezo,karibu tujadili bila unazi
N.B- ningetupia hii kwenye jukwaa la sports but naona nililete kisheria zaidi
Timu hazipo bound na mkataba moja kwa moja isipokuwa kupitia kanuni hizo. Voda imeingia mkataba na TFF wa kudhamini ligi ambayo ina kanuni za uendeshaji wake. Naamini hata huo mkataba utakuwa kwa namna moja ama nyingine unafanya reference kwenye kanuni hizo. Yanga (na timu nyingine) kwa kukubali kushiriki ligi hiyo, kimsingi wamekubali kufungwa na kanuni za ligi hiyo. Na zaidi, kwa kukubali kuchukua vifaa kutoka Voda, pia impliedly wanakubali "udhamini" wa kampuni ambayo rangi yake ya biashara ni nyekundu.Wasi wasi wangu ni kuwa kanuni zimaweza kuzilazimisha timu kuvaa jezi za mdhamini, lakini je, kisheria, hiyo inazifanya timu ziwe bound kwa contract between TFF na VOda?
Na pia, What is legal connection between Kanuni za ligi na mkataba wa udhamini between TFF na Voda?
ni kwa vile waliangalia kiasi cha pesa tu na sio contents za mkataba.Timu hazipo bound na mkataba moja kwa moja isipokuwa kupitia kanuni hizo. Voda imeingia mkataba na TFF wa kudhamini ligi ambayo ina kanuni za uendeshaji wake. Naamini hata huo mkataba utakuwa kwa namna moja ama nyingine unafanya reference kwenye kanuni hizo. Yanga (na timu nyingine) kwa kukubali kushiriki ligi hiyo, kimsingi wamekubali kufungwa na kanuni za ligi hiyo. Na zaidi, kwa kukubali kuchukua vifaa kutoka Voda, pia impliedly wanakubali "udhamini" wa kampuni ambayo rangi yake ya biashara ni nyekundu.
TFF inawaogopa Yanga PERIOD! Kwanini wasisimamie sheria n kanuni zao?? Yanga hawavai nembo ya mdhamini wa ligi?? Yanga wametumia njia za panya kupata kibali cha kocha wao kufanya kazi nchini ilhali tff ndo waliotakiwa kuwaombea. Inatakiwa kocha wa yanga asiwepo ktk benchi kwani tff hakuna kumbukumbu zake zozote?? Yanga inadaiwa na njoroge, papic, marashi, ndlovu, zaidi ya milioni 170. Hukumu imetoka fifa tff wameshindwa kuchukua hatua hata ya ile kuwakata mapato ya mechi zao ili kulipa deni hilo kilazima kwani inaharibu jina la nchi. Pesa za twite hazijalipwa. Siku 21 walizotoa zimekwisha siku nyingi hakuna lolote linalofanyika. Hata ktk hili nategemea hakuna lolote litakalofanyika.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums