Hili lengo lisipofanikiwa kuna watu wataishi kama wapo motoni

comrade_kipepe

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2019
Posts
8,748
Reaction score
18,096
Baadhi ya watu maarufu walioonyesha kuunga mkono harakati meza isipopinduka kwa ninavyowajua hawa miungu watu watawatengenezea zengwe mpaka wakimbie nchi.

ILA PIA NAAMINI HATA KAMA SIO TAREHE 29 MEZA INAPINDUKA MWAKANI.

zingatia maneno niliyoandika kwa herufi kubwa
 
Hakuna wa kupindua chochote baada ya tarehe 29 watapinduliwa wao
 
Baadhi ya watu maarufu walioonyesha kuunga mkono harakati meza isipopinduka kwa ninavyowajua hawa miungu watu watawatengenezea zengwe mpaka wakimbie nchi.

ILA PIA NAAMINI HATA KAMA SIO TAREHE 29 MEZA INAPINDUKA MWAKANI.

zingatia maneno niliyoandika kwa herufi kubwa
Unamaanisha nchini mbi atachukua nchi?
 
Baadhi ya watu maarufu walioonyesha kuunga mkono harakati meza isipopinduka kwa ninavyowajua hawa miungu watu watawatengenezea zengwe mpaka wakimbie nchi.

ILA PIA NAAMINI HATA KAMA SIO TAREHE 29 MEZA INAPINDUKA MWAKANI.

zingatia maneno niliyoandika kwa herufi kubwa
HAkuna wa kupindua meza hiyo kila mtu anajua lakin wanachotaka ni kuonesha mamlaka nguvu ya wananch ni nini lengo ni kuusimamisha uchaguz na kuuvuruga tukae chin tufanye uchaguz halal
 
Makubwa yanaanza tar 29 lazima meza ipinduke ikishindikana itawezekana kivingine
 
Back
Top Bottom